CCM walishana yamini Dodoma

Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,004
Wabunge wa CCM waliomaliza kikao cha bunge hapo jana wamezuiliwa kuondoka na leo kutwa nzima wamekuwa kwenye kikao cha Wabunge wote wa CCM kuangalia jinsi gani wanavyoweza kudhibitiana kutokana na hoja iliyofikishwa kwa Spika juu ya kumwondoa madarakani Waziri Mkuu kwa kura ya kutokuwa na imani nae hasa ingizingatiwa kwamba kura yenyewe itakuwa ni ya Siri.

Tusubiri tuone kitakachojiri Ngoma bado nzito na Inogile.
 
Kikwete na Mafisadi wenzake amekula yamini ya kyulinda Taifa letu, lakini yeye ndio mwizi no.1. Yamini sio sababu ya kuamini mtu anachosema
 
kama ni ya siri basi ni vyema wabunge wa magamba wafanye kama wanavyofanya wapiga kura. kula ccm kura kwa chadema
 
kama ni ya siri basi ni vyema wabunge wa magamba wafanye kama wanavyofanya wapiga kura. kula ccm kura kwa chadema
Hicho ndicho kitakachofanyika, we imagine kama sahihi za wazi zimewekwa na wabunge tuliokuwa hatutegemei kama Mkono itakuwaje kura ya siri.
 
Hiyo itakuwa yamini ya pili kwani ya kwanza walishalishana siku nyingi ambayo ni KUIIBIA NCHI NA WAENYE NCHI BILA KUWAJIBISHANA.
 
Kikwete & CHADEMA.jpg
Kumbe naye yumo!
Kumbe ndiyo maana anakiua chama chama chaooo!!!!!!

 
nakumbuka kuna speech ya mr pesident aliwahi usema kuwa hatakubali cham akimfie mikononi mwake lakini nabashiri kifo cha ccm kumfia chumbani kwake.
 
maana ya kulishwa yamini na maelezo ulotoa no correlation ndugu.

weka mshumaa kichwani uuwashe ubongo ulainike upate kuelewa mbona msg iko wazi, yamini ni makubaliano ya kuwa na urafiki maalumu baina ya mtu na mtu au familia zao. ccm wameamua kula yamini maana meli inadidimia
 
maana ya kulishwa yamini na maelezo ulotoa no correlation ndugu.
Tatizo lako ni uchu tu wa hela za Nape, wewe umetoka Kishumundu juzi tu umekimbilia ukibaraka hata kiswahili hujakijua vizuri. Yamini ni makubaliano ambayo hatakiwi mtu aliyeyaingia kuyakiuka kwa namna yoyote, iwe hadharani au sirini otherwise lazima atapatwa na mabaya kama atayakiuka. (Kapa Nguma!)
 
Back
Top Bottom