CCM wajiwekea doa kwa wananchi wa Arumeru Mashariki

Nakipongeza chama changu cha mapinduzi kwa kuamua kwa vitendo kutuletea wananchi maendeleo;kwani kwa matusi wanayo tutukana ni mlango wa wazi wa CDM kuchukua jimbo na kusaidia kuleta maendeleo!!!!
Bravo CCM!!!
 
Yap, ni muda mwafaka wa wakazi wa Arumeru Mashariki kukataa siasa za ubabaishaji, CDM wajizatiti ili watwae jimbo hili.
 
Mlipowachagua mlikuwa hamuwahui eeh? Sasa kama na nyinyi mnataka barabara zifike majumbani kwenu, KUFENI.

Hiyo ndio CCM ya FF na Rejao bwana. Kumpata mwenye busara huko ni sawa na kupata nywele nyeusi kwenye kichwa cha Lowassa
Ati nini?Wafe ndo wachongewe barabara?kwani kuchongewa barabara ni HAKI au Bonasi.
 
alikuwa hakanyagi arumeru ng'o! Alikuwa anaongoza jimbo kutoka darsalama

nasary alishakosea labda niwape kidogo wakati wa kampeni marehemu tayari alishaanza kuugua hiyo saratani ya ubongo na alikuwa kuna wakati anajibu dry ili mbaya lakini wameru walimpa wakijua jamaa ni mgonjwa nikirudi kwa nasary wekeni kumbukumbu ya hii meseji meru ni tofauti na sehemu nyingine kijana hana heshima na wanmeshazungumza vurugu za lema mjini arusha asizilete arumeru labda watafute mgombea mwingine lakini nasary kwa chadema hatashinda kamwe na ccm itashinda
 
Kipimo cha nguvu za Lowasa na kukubalika kwake kitakuwa Arumeru .Kama mnadhani ana nguvu Tanzania kama huko Monduli ambako nako ni pesa anatumia basi mwacheni aende Arumeru kupiga kampeni.Sijui atawaambia nini watanzania wa pale .Yangu macho .
 
Ulitaka marehemu apitishwe njia mbaya nyie mmichizika kwa kweli

Kwani alipo kuwa hai alikuwa anaenda kwao kwa helkopta?. na kama alitumia gari, unataka uniambie yeye hakuona ubovu wa barabara? au alikuwa hatembelei kwao kama baadhi ya wabunge wengine wa magamba?.
naomba uondoe huo upupu hapo juu.
 
Back
Top Bottom