CCM waacheni wachaga waishi kwa amani!

Mada zingine za kijinga sana unayosema ndiyo unayo moyoni mwako unapata shida kwa ujinga wako.
 
Kila wakati naona kama kuna kusakamwa fulani kwa wachaga walioko kwenye siasa za nchi hii hasa wakiwa Kwenye vyama vya Upinzani. Mwaka 1995 wakati Mrema akiwa katika Ubora wake, CCM ilikuwa inawaambia wananchi kwamba kirefu cha NCCR ni "National Chagga Convention Republic" Maelezo ambayo hata kwa kiswahliil hayatafisiriki! Walikuwa wakisema "Mkimchagua Mrema hii nchi itatawaliwa na wachaga"

Wananchi wakaambiwa kwamba NCCR-Mageuzi ni chama cha wachaga na ndiyo maana kwenye Nembo ya chama hicho kuna mlima wa Kilimanjaro. Hoja ya kijinga kabisa lakini ikashupaliwa na CCM. Kwenye mkoa wowote ule hata kama kiongozi wa NCCR -Mageuzi mchaga ni mmoja tu mkoa mzima ikawa ndiyo nongwa ya kuambiwa hicho chama ni cha wachaga!

Wakati NCCR - Mageuzi inapoitwa ya "Wachaga" CHADEMA ilikuwepo na ilikuwa haishambuliwi hata kama Mwenyekiti wake Muanzilishi ni Mchaga, Mzee Edwin Mtei. CHADEMA baadaye ikaongozwa na Msukuma na Muislam Marehemu Bob Nyange Makani. Wakati CHADEMA ikiongozwa na Makani haikuitwa ya Waislamu wala ya Wasukuma!! Kwa sababu haikuwa ni tishio kwa CCM na wanaofaidika nayo. Wakati huo waliokuwa wanashambuliwa kwa "Upemba" na "Uislamu" wa chama chao walikuwa ni CUF.

Baadaye Freeman Aikaeli Mbowe akachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Pale alipochaguliwa tu, CHADEMA haikuitwa ya wachaga, ila alipoanza ziara ya kukijenga chama hicho Mwaka 2004 na baadaye kugombea Urais Mwaka 2005, ndipo tulipoanza kuambiwa kwamba CHADEMA ni chama cha wachaga. Hata watu kama kina Mnyika nao wakaitwa wachaga!

Picha inayojengwa na wanaoeneza Propaganda hiyo ya kijinga ambao wengi wao ni watu wa CCM, ni kwamba watu wa Kaskazini hasa wachaga hawafai kuwa viongozi wa nchi hii, kwa kuwa ni watu wa hatari sana na ni wabinafsi. Propaganda hizi zinatofautiana vipi na zile za Wahutu wa Misimamo mikali chini ya kundi lao la "Interahamwe" dhidi ya watutsi na wahutu wenye msimamo wa wastani?

Wakati CCM inasema watu wa Kaskazini ni hatari yenyewe inao viongozi wa ngazi ya taifa toka huko huko Kaskazini. Mchaga anayefaa kuwa kiongozi ni yule tu aliye CCM? Kwani dhambi ya wachaga wasioitaka CCM ni nin? Ni wakati gani watu wa Kaskazini wanapokuwa siyo "Hatari" dhidi ya watu toka maeneo mengine ya nchi hii?

CCM IWAACHE WACHAGA WAISHI KWA AMANI KATIKA NCHI YAO HALALI KAMA MAKABILA MENGINE YANAVYOISHI!!
 
ukitaka kuona ubinfsi na ukabila wa wachaga nenda ofisi ndogo tu kama tra hadi mpika chai lazima atoke moshi
 
serekali imejaa wana wa kanda ya Ziwa!!!
Serikali imedhamiria kurekebisha uchumi wa nchi na watu wake mmoja mmoja so ni lazima kuwa na watu waadilifu. Kanda ya ziwa hakuna wezi na hata kama wapo ni mmoja mmoja na pia hawana ukabila. Hapa ni kazi tu ndugu habari ya kupeana ulaji imepita
 
Naona wachaga tunazidi kusimangwa sana na kupigwa vijembe na hii serikal ya JPM ila ukwel ni kuwa tulianza kujielewa hata kabla Nyerere hajazaliwa. Tunachuma kwa haya masukuma tunajenga home kwanza sasa Magu anavoona ndugu zake mangosha wanachunga Mifugo anamind badala ya kuwapelekea elimu. Proud sana to be chaga
 
ukitaka kuona ubinfsi na ukabila wa wachaga nenda ofisi ndogo tu kama tra hadi mpika chai lazima atoke moshi
Hawanaga aibu. Nenda CRDB utajionea H Kimei, S Mushi na kadhalika. Ukweli hawafai na ni lazima wadhibitiwe kwa nguvu zote. Hata kwenye vi NGO tu hivi vidogo vidogo kiongozi akiwa mchaga tu basi 90 pct watakuwa wachaga kama si 99% na ukiwauliza wanakujibu simple. Wanakwambia kwa nini usimsaidie ndugu yako wa karibu ambae atawasaidia na ndugu wengine ukansaidie mtu baki? That simple. Pale TRA Moshi kuna mabinti wawili mapacha wa kichaga wameajiliwa tena kitengo kimoja. Ni kweli walicompete na wakashinda wote pamoja??? Wachaga nawaogopa sana kwa matabia yao haya. Hata ukimuoa ukiwa kabila nyingine kama kwao wanahitaji msaada atakushauri msaidie fasta. Kwako atakufanyia visa mpaka basi. Ni Noma.
 
Kwa hoja hii alipata neema ya kutoolewa na akili ndogo, unatumiaje mtu 1 kufanya hitimisho kwa kabila zima? Nina wasiwasi hata kama uliwahi kuwa na binti wa kichaga

Aliyekwambia nataka kuoa uchaggani ni nani? Mimi siwezi kuoa uchaggani dada hata nipewe mke bure!
 
Manispaa ya moshi mjini ilitakiwa kuwa jiji toka 2012 lakini kumetokea mgongano wa kimaslai kati ya watu wenye mashamba yao ambayo vijiji vyao vinatakiwa kuingizwa katika mpango wajiji wamegoma kukubali huo mpango mpaka serikali iwapatie hati miliki ya mashamba yao wamesema jij

i halitambui mashamba hicho ndio kikwazo.watu wanaakili zao wanaangalia faida na hasara kwanza MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU

:D:D moshi mjini ilitakiwa iwe jiji:(duh...shy, dodoma haikupewa jiji, iweje moshi ipewe... mtasubiri sana
 
Bahati mbaya Magufuli akikaza kidogo kutumbua majipu
duuh! we jamaa kiboko. hata hujui kutofautisha kati ya kipere, chunusi na jipu. kwa taarifa yako, huyo anayejiita mtumbua majipu, hafanyi hivyo. bali kwa hali ilivyo Tanzania na anchokifanya hatumbui majipu bali anakuna vipere wala hajatumbua chunusi hata moja. Nawewe kwa ukasuku wako unasema anatumbua Majipu. Daaah! upembuzi nchi hii bado!
 
Sasa mwisho wenu huu baraza la mawazir hampo baraza la makatibu hampo nasasa tunawafuata mlipo
Unajua mtu kuumia? basi hawa jamaa imewauma hakuna mfano. Ila sie tunaendelea kuwakumbusha kwamba badala ya kumuona Magufuli vipi ni vizuri waelewe tabia zao ndo adui yao namba moja. Tabia zao za udokozi na uporaji haziwezi kuwapeleka popote, wachaga ni waroho na walafi. Hauwezi ukamwamini katika chochote kile, kama haibi basi anakwepa kodi ama wamechezea mizani yao. Watu wa hivi wasioheshimu ofisi za umma hawafai na katika uongozi huu wataumia saaana na bado. Magufuli hataki kukupa mamlaka alafu kesho ufanye ushenzi na kwasababu anawafahamu vizuri ndo maana kawaweka kando, tabia zao za uroho ndo zinawaumiza sahivi.
 
Aliyekwambia nataka kuoa uchaggani ni nani? Mimi siwezi kuoa uchaggani dada hata nipewe mke bure!

sisi wachagga tuna matatizo kwakweli sijui lini tutaelimika! mutu wa kabila fulani akioa dadaetu baada ya miaka mbili muke anamgeuka mume eti kisa malli, anathubutu hata kuchukuwa hatua ya kumuwa kisa abebe mzigo aseppe akazifaidi na nduguze...jamani jamani sisi wachagga tunanini lakini? kwanini hatuchenji kama mikabbila mingine, tuige vitabia vya kisukuma wachapa kazi muno jamaniii yaanii acheni tuu
 
Tehe tehe tehe! Wachagga bana!
 
Makabila yanayojielewa bongo ni Wanyakyusa, Wachagga na Wahaya hao wengine sina hata jina la kuwaita na ndo hawana maendeleo kabisa mikoani kwao kwaajili ya unyumbu wao
 
Hawanaga aibu. Nenda CRDB utajionea H Kimei, S Mushi na kadhalika. Ukweli hawafai na ni lazima wadhibitiwe kwa nguvu zote. Hata kwenye vi NGO tu hivi vidogo vidogo kiongozi akiwa mchaga tu basi 90 pct watakuwa wachaga kama si 99% na ukiwauliza wanakujibu simple. Wanakwambia kwa nini usimsaidie ndugu yako wa karibu ambae atawasaidia na ndugu wengine ukansaidie mtu baki? That simple. Pale TRA Moshi kuna mabinti wawili mapacha wa kichaga wameajiliwa tena kitengo kimoja. Ni kweli walicompete na wakashinda wote pamoja??? Wachaga nawaogopa sana kwa matabia yao haya. Hata ukimuoa ukiwa kabila nyingine kama kwao wanahitaji msaada atakushauri msaidie fasta. Kwako atakufanyia visa mpaka basi. Ni Noma.

Akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom