Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Singida wamejitokeza hadharani kumpongeza Dr. Wilbrod Peter Slaa, kwa kile wanachodai anatumia hekima za uzee, na Utaratibu kuwashauri wanachama wake kuhusiana na suala la Katiba. Wanampongeza ila hawataki majina yao yajulikane.