Mkataba wa Bandari Tanzania na DP World ni Kaburi la CCM 2025

Fernando Wolle

JF-Expert Member
Aug 19, 2022
387
764
Ujumbe huu uwafikie Wana CCM wenzangu.

Kwanza mimi binafsi nawashangaa sana Wanachama wenzangu Wanaoshadidia kwa ushabiki suala la Mkataba wa Bandari kiasi kwamba wengine wanaleta kejeli mbele ya hoja zinazotolewa na wale wanaoupinga mkataba huu, inaonesha dhahiri suala hili linaletewa mzaha.

Kitendo Cha kuendelea kumfariji Mheshimiwa Rais kwamba asisikilize kelele za wanaopinga Mkataba kwamba eti wanapiga maendeleo ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa na mnaofanya hivyo tambueni kwamba hamna jema lolote kwa nchi na Chama na kwa Mh. Rais pia.

Suala hili la Bandari limetugawa Watanzania Katika makundi mengi, sakata la Bandari halituunganishi Watanzania zaidi ya kutugawanya na kuleta chuki, matusi na kudharauliana. Hili suala la Bandari halina afya hata kidogo kwa nchi, kwa Serikali na kwa Chama chenyewe (ccm).

Mgawanyiko wetu umeanzia ndani ya Serikali na Chama (ccm), wapo wengi sana wanaopinga mkataba, wachache wamejitokeza hadharani kama Prof. Tibaijuka, Dr. Getrude Mongella na wengine wengi wanapinga kimyakimya huku wakilinda ugali wao. Makundi ya asasi za kiraia , wasomi mbalimbali n.k, wengi hawataki huu Mkataba tena kwa hoja zinazojitosheleza.

Ukirudi kwa Wananchi ndio wengi zaidi na kama Kuna viongozi wa Chama wanabisha basi ipigwe kura ya maoni kujua wanaounga mkono huo mkataba na wanaokataa ni wepi wengi.

Kutokana na mgawanyiko huo ni dhahiri kwamba Taifa letu limeparaganyika yaani ule Umoja wa Kitaifa haupo tena.

KWA HATUA TULIYOFIKIA, Kama serikali ya chama changu (ccm) itaamua kutumia mamlaka yake na kwa nguvu ikaidhinisha hataua za mwisho kabisa kwa Mkataba huu kuanza kazi rasmi hasira za makundi niliyoyataja hapo juu zitahamia 2025 na zitaanzia 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa na kumalizia Uchaguzi Mkuu. Ambapo ccm italazimika kukabidhi Nchi kwa Chama Kingine.

Sasa wale wanaccm wenzangu ambao mnadhani kwamba kwakuwa Serikali imeundwa kwa Chama Cha Mapinduzi na Nguvu, Mamlaka yote mnayo, tambueni kuwa Kuna wakati mamlaka hiyo itakwisha, Nguvu itakwisha maana nguvu na mamlaka yote ya Serikali inatokana na Wananchi. Sasa kama wananchi tumewasusa hiyo mamlaka na Nguvu ni dhahiri itakoma tu.

Hivyo wale wanaccm wenzangu vindakindaki, tunaopenda kusifia tu ili tuonekane ni watu wazuri kwa chama, kukejeli na kushabikia pasi na kujibu hoja nzito zinazoletwa na wasiounga mkono Mkataba huu wa Bandari tukidhani tunawakomesha, tutambue kwamba TUNAICHIMBIA CCM KABURI 2025.
 
Sema ni pigo lenye laana, likifuatiwa na kifo kisha kuzikwa kwenye kaburi la kuangukiwa na kifusi cha udongo
 
Ni Mjinga gani ataacha Mkataba wa Bandari asikilize MANENO- Alisikika akisema Katibu Mkuu wa CCM Chongolo
 
Kumbe Kuna wa CCM wazalendo, hawaangili maslahi binafsi. Mkuu simama maslahi ya Taifa Kwanza.
 
Harafu watu wachague chama gani? 😂😂
 
Wanasema ni Udini kuupinga mkataba, Sasa wanaosifia tusemeje..Taifa limeparaganyika Samia ni mtu hatari sana kwa umoja wa Taifa letu.
 
Ngoja tuone. Kwa tume Ile na polisi hawa?
 
Back
Top Bottom