CCM Singida wakunwa na Dr. Slaa

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Singida wamejitokeza hadharani kumpongeza Dr. Wilbrod Peter Slaa, kwa kile wanachodai anatumia hekima za uzee, na Utaratibu kuwashauri wanachama wake kuhusiana na suala la Katiba. Wanampongeza ila hawataki majina yao yajulikane.
 
Habari za kufikirika na za kujitungia!! Ni vema ungesema hizo ni hisia zako badala ya kujifanya ku-quote viongozi wa CCM wa mkoa wa Singida.
 
Moyo ukipenda, hata penye chongo utaita kengeza.

Pole sana.

Non sense.
Naona umeumia sana. Pole kama ukweli inauma. Nyie ccm hamtakubali hata hali halisi. Mnatakaa kuona tu watu wanapigwa risasi halafu mseme hao wakorofi. Poleni sana nyie CCM wauaji.
 
Habari za kufikirika na za kujitungia!! Ni vema ungesema hizo ni hisia zako badala ya kujifanya ku-quote viongozi wa CCM wa mkoa wa Singida.
Pole sana kama ukweli unauma. Lakini ndo hali halisi. Hata Gadaffi alitamba kwa atawamaliza mende wote, lakiini yeye ndio alikuwa mende akafa kishezi. Ni upumbafu tu inawasumbua wana ccm.
 
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Singida wamejitokeza hadharani kumpongeza Dr. Wilbrod Peter Slaa, kwa kile wanachodai anatumia hekima za uzee, na Utaratibu kuwashauri wanachama wake kuhusiana na suala la Katiba. Wanampongeza ila hawataki majina yao yajulikane.
Hongereni sana viongozi hao wa ccm wanaopenda amani alioiasisi Mwl Nyerere. Tunataka uvumilivu wa kisiasa namna hii. To appreciate pale wenzetu wanapofanya vizuri, sio kuwakosoa tu. Na pale tunapokosea tukubali kuwa tumekosa.
 
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Singida wamejitokeza hadharani kumpongeza Dr. Wilbrod Peter Slaa, kwa kile wanachodai anatumia hekima za uzee, na Utaratibu kuwashauri wanachama wake kuhusiana na suala la Katiba. Wanampongeza ila hawataki majina yao yajulikane.

Mimi binafsi nina tatizo na hapo pekundu.... Watajitokezaje hadharani wakati huo huo hawataki majina yao yajulikane????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom