Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,529
- 1,114
Wadau, mwenye data aweke hewani, kwa nini zoezi la kujivua magamba la CCM limeyeyuka kama mshumaa na hata mkuu wa kaya na mwenyekiti amenyong'onyea na hataki hata kukumbushia?
CCM hakuna wa kumvua gamba mwenzake kwa kifupi CCM ni gamba ambalo limeng'ang'ania kwenye ngozi za watanzania nasasa tumeisha kulivua taratibu maana lilikomaa migongoni mwetu ila 2015 tutalivua rasmi hili gamba