The wave
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 281
- 312
Wanajamvi shalom!.
Nakubali Nina kadi ya CCM, lakini sitaitendea haki roho na nafsi yangu nikikubaliana na ukengeufu unaoendelea ndani ya chama hiki. Badala ya kushughulika na ukosefu wa umeme ambao ni kikwazo kikub wa kwa ukuaji wa Taifa letu linalochechemea kiuchumi, wanaleta habari za kurithishana uongozi kwa la lijitu linaloitwa chipukizi. Kwanza sio afya kwa Taifa kuwagawa watoto kwa itikadi za kisiasa badala ya kuwapa elimu yenye tija ili watakapokua wajue wachague kipi?!. Nasema hivyo sababu sisi CCM tumeanza vipi CHADEMA na CUF nao wakiiga!? Si tutaigawana nchi vipande hapo baadae?.
Pia ninachokiona CCM ni mfumo wa kifalme yaani mtoto wa kiongozi ndiye anapewa anachokitaka kura na kampeni uchwara ni maigizo tu.
Ndugu zangu wana CCM tuliangalie sana hili kwa jicho la tatu, tunakizika chama tukemee hili kwa nguvu zote bila hofu Wala aibu tusikubali kuwa machawa. Sifa ya chawa ni uchafu.