Ccm na mtandao wa siri!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Wana jf kuna mtandao wa siri inasemekana umeanzishwa ili kumsaka mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm!
Source:jambo leo!
Swali langu:
je ni mbinu nzuri?je kuna aliyefichika ndan ya ccm ambaye watz hawamfahamu?
 
Mbona watatafutana sana term hii!!!,sishangai,mzoea vya kunyonga......,badala ya kuhangaikia matatizo ya watz wao wanahangaikia 2015 huko,huu upuuzi sijui utaisha lini?
 
Wana jf kuna mtandao wa siri inasemekana umeanzishwa ili kumsaka mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm!
Source:jambo leo!
Swali langu:
je ni mbinu nzuri?je kuna aliyefichika ndan ya ccm ambaye watz hawamfahamu?

NIPO mimi nimefichika hawanifahamu.
 
Kundi la Rostam Aziz na kijana wake Hussein Bashe wamepata media ya kupambana na mahasimu wao ndani ya CCM. Hakika mengi tutayaona hadi siku ya kumpata Rais ajaye. Lengo lao ni kumtikisa Jk.
 
Wana jf kuna mtandao wa siri inasemekana umeanzishwa ili kumsaka mgombea uraisi kwa tiketi ya ccm!
Source:jambo leo!
Swali langu:
je ni mbinu nzuri?je kuna aliyefichika ndan ya ccm ambaye watz hawamfahamu?

Mbona ilishatamkwa kuwa rais ajaye JK anamfahamu!!,labda mchakato wenyewe ndiyo huo ili kuwazuga watu,lakini wakae wakijua kuwa kadri miaka inavyosonga ndivyo wanavyozidi kupoteza mwelekeo.
 
Jambo leo limenunuliwa na habari Corporation kampuni ya Rostam Aziz. kazi kwenu kuchambua kama ni chanzo makini au ni upupu tu.
 
Mbona ilishatamkwa kuwa rais ajaye JK anamfahamu!!,labda mchakato wenyewe ndiyo huo ili kuwazuga watu,lakini wakae wakijua kuwa kadri miaka inavyosonga ndivyo wanavyozidi kupoteza mwelekeo.
Kwa nini asimfahamu ilihali 2010 alimwibia kura zake?

Back
Top Bottom