Haitakuwa OMBI bali lazima. Kwani wewe huwajui?
Haitasaidia Mkuu vijana wa siku hizi ni ngumu sana kuwadanganya labda wawachomoe ubongo zao wawe kama mazombie
Ni kweli unachosema, mie naamini huko ndo vijana wanaenda kuunganisha nguvu na kubadilishana mawazo namna ya kuiondoa sisiem, kwani watakuwa pamoja kwa muda mrefu, watakuja na mbinu mpya nyingi, kwa miaka 3 iliobaki watakuwa wamepikwa vijana sio chini ya milioni 1.5, litakuwa ni ongezeko kubwa la kuleta chachu ya mabadiliko.
Nadhani CCM wameona Umuhimu wa Kurudisha JKT kwani ndio tegemeo lao kutumia mwanya huo kuzoa wanachama. Vijana watakaojiunga ni dhahili watalazimishwa kujiunga na MAGAMBA wapende wasipende. My take: JKT IJAYO SI KAMA ILE ILIYOPITA, HII IPO KIMKAKATI WAKUIBEBA CCM ZAIDI.
Wapumbavu wanaotegemea kulindwa kama wanawake majumbani mwao utwajua tu!Nadhani CCM wameona Umuhimu wa Kurudisha JKT kwani ndio tegemeo lao kutumia mwanya huo kuzoa wanachama. Vijana watakaojiunga ni dhahili watalazimishwa kujiunga na MAGAMBA wapende wasipende. My take: JKT IJAYO SI KAMA ILE ILIYOPITA, HII IPO KIMKAKATI WAKUIBEBA CCM ZAIDI.
Wabunge vijana wameomba kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na wamekubaliwa kufanya hivyo. Ila tofauti na vijana wengine watakaojiunga na jeshi hilo kwa mujibu wa sheria baada ya kuhitimu kidato cha sita mwezi Machi, 2013, wao watapata mafunzo hayo kwa majuma matatu tu ilhali wenzao watapata mafunzo hayo kwa miezi sita.
Hongereni wabunge wetu mkajifunze UZALENDO na MAADILI huko jeshini.
Source: Bungeni leo.