CCM na habari za kusadikika

kanyelele

Senior Member
Oct 10, 2013
115
31
kujua kuwa CCM ni ugonjwa hatari ya ebola huitaji kuwa daktari bingwa. Mwanachama yeyote ni mgonjwa mahututi wa ugonjwa uitwao ccm
Ukimsikiliza mtu huyo hakika lazima utamhurumia sana anavyo toa vihoja na sio hoja ,kazi yao ni kuleta hadithi za nchi ya kusadikika, hakika hawa watu hawajajitambua kabisa.

Wanajaribu kuwaghiribu wanachi kuamini kuwa amana iko mbeleni na sio leo, kilimo ni uti wa mgongo wakati sio, tanzania imesonga mbele kimaendeleo kisa uwepo wa umeme usio kuwa na tija.

CCM hawajajua tofauti ya huduma za jamii za msingi na maendeleo ya jamii, kama kuna mtu anabisha alete hoja.

Bora kuumwa ugonjwa wot
e ule maana pengine madaktari wanaweza kuja na tiba mbadala kuliko kuumwa ugonjwa hatari uitwao ccm ,huu ugonjwa hauna tiba wala kinga .
 
Shetani ana wafuasi wake na mungu ana wake ila nyakati za mwisho zimekaribia ndio maana maovu yamezidi, ila wapo ambao wajitambua na kuoka hawataendelea kumtumikia shetani.
 
Back
Top Bottom