CCM na Chadema wahamia CUF - KIGOMA

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
ni muda tu mkutano umemalizika hapa katika viwanja vya katubuka shuleni, na wanachama karibu 64 wa CCM na Chadema 216 wameamua kuachana na vyama hivyo, na kujiunga na chama cha wanainchi CUF, mkutano huo ambao uliambatana na ufunguzi wa matawi 11. HAKI SAWA KWA WOTE.
 
Naona watu wa kigoma mmeanza kuerevuka juu ya ile njama ya kaskazini!
 
CUF sasa inakomba magwanda! Wamechoshwa na udikteta na kauli za kutaka umaarufu kwenye vyombo vya habari na kuamua kuifuata haki sawa. Magwanda mpoooz!
 
ni muda tu mkutano umemalizika hapa katika viwanja vya katubuka shuleni, na wanachama karibu 64 wa CCM na Chadema 216 wameamua kuachana na vyama hivyo, na kujiunga na chama cha wanainchi CUF, mkutano huo ambao uliambatana na ufunguzi wa matawi 11. HAKI SAWA KWA WOTE.
Mkuu be serious bhana
 
mkigoma,

..muungano unakufa na CUF nao watarudi kuwa Hizbu kule Zanzibar.

..CUF wanajulikana kabisa kwamba wako huku Tanganyika kutimiza masharti ya usajili wa vyama vya siasa.
 
id yangu tu inajitambulisha kuwa niko Kigoma. Acha unafiki. By the way Zenj ikijitenga tu CUF itakufa rasmi. Unastahili BAN. St*upid
 
ni muda tu mkutano umemalizika hapa katika viwanja vya katubuka shuleni, na wanachama karibu 64 wa CCM na Chadema 216 wameamua kuachana na vyama hivyo, na kujiunga na chama cha wanainchi CUF, mkutano huo ambao uliambatana na ufunguzi wa matawi 11. HAKI SAWA KWA WOTE.

we kweli mwehu! Acha kuwadhalilisha watu wa kigoma ni watu wenye upeo mpana, isitoshe NCCR ndiyo chama tawala kigoma, so habari yako ni umbea.
 
ni muda tu mkutano umemalizika hapa katika viwanja vya katubuka shuleni, na wanachama karibu 64 wa CCM na Chadema 216 wameamua kuachana na vyama hivyo, na kujiunga na chama cha wanainchi CUF, mkutano huo ambao uliambatana na ufunguzi wa matawi 11. HAKI SAWA KWA WOTE.

Mkuu unatuchanganya wanachama wanahama ccm na kujiunga na ccm! CCM+CUF=CCMCUF ,kwa lugha nyingine ccm na cuf ni mtu na mke wake,kwaiyo wamemkimbia ccm a.k.a mume nakujiunga na cuf a.k.a mke!
 
Join Date : 26th July 2011

Posts : 265

Rep Power : 401
Likes Received 41

Likes Given 0

Mwaka mzima post hizo tu, tangu wakati huo hakuna mtu aliyekupa Like hata moja! Ni dhahili huwa una post pumba!
 
ni muda tu mkutano umemalizika hapa katika viwanja vya katubuka shuleni, na wanachama karibu 64 wa CCM na Chadema 216 wameamua kuachana na vyama hivyo, na kujiunga na chama cha wanainchi CUF, mkutano huo ambao uliambatana na ufunguzi wa matawi 11. HAKI SAWA KWA WOTE.

kama ni kweli hii itakuwa sawa na KUTUPA BUNDUKI UKATAFUTA FIMBO VITANI poleni ndg zangu
 
Back
Top Bottom