CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

Kuvunjwa baraza ilikuwa dhahiri ili kujinusuru na presha ya political tsunami ambayo Chadema waliitangaza bungeni, tatizo tutaendelea na style hii hadi lini???????
 
Huyu jamaa aliyeleta hii thread ni mbeya, pili hoja zake hazina mashiko. Kama baba Ritz kidume basi awapeleke mahakamani then awafilisi hao wezi.
Duh! Mkuu huu mtihani unampa ****** hawezi hata kujaribu. Labda aanze na Kagoda!
 
watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao mheshimiwa rais kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha ccm na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani chadema huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya jk na kuipongeza cc ya ccm kuwa ina wapenda tanzania na manufaa kwa watanzania.

Poleni chadema, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

this type of thinking is simply naive and pathetic...
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Tunaomba tukupe pole wewe unayepata habari vijiweni. kwani cdm tuefurahi sana kwani kichwa cha nazi kimefanya kama wabunge waupinzani na baadhi wa ccm walivyomwelekeza. Tunashukuru sana kujionesha kwamba hawezi bila kushurutishwa.
 
Kwa mtazamo wangu JK alitakiwa kuwaomba watanzania radhi; kwa kuwachezea. Aliambiwa tangu mwanzo, huwezi kuongoza nchi kwa kupeana nafasi kama fadhila. Hayo ndio matunda ya kuwekana 'nepotism' bila kujali uwezo wa mtu au sifa alizo nazo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

utumbo mwenine huu hapa....umeshaambiwa huka anaye tafuta credit kwenye hili suala....utaifa kwanza
 
Inaonekana kuwa wewe umezaliwa baada ya mwaka 2010,wezi walioambiwa kwenye kampeni za uchaguzi kuwa bado wanahitajika kwani wao ni jembe la zamani lisiloisha makali,mlikuwa maana gani? huyo unayemwita Dpp alikuwepo na wengineo sasa huo ujasiri wa kuwachukulia hatua unatoka wapi? Hadanganyiki mtu mpaka kieleweke:A S shade:
 
kilicho angaliwa hapa ni mustakabali wa nchi yetu na rasilimali zake.Pia ikumbukwe kuwa huu si upepo kama tulivyosadikishwa, Tanzania kwa sasa hakuna upepo zaidi ya gharika kwa viongozi walafi wa mali zetu za umma.Gharika hili si tu kwa mawaziri kama mnavyofikiri la hasha! laweza kumkumba hata bwana mkubwa kwa kutoteuwa watendaji makini na kujaza mafisadi ndani ya serikali katika historia ya uongozi wake wa takribani miaka saba.
 
Dr Slaa anakula kodi zetu kupitia ruzuku inayopata CDM kutoka hazina; analipwa posho ya kukosa urais mil. 12, kila mwezi, mchumba wake kamtengezea deal ya kuratibu mifumo ya habari CDM HQ, kapewa kazi kifisadi pasipo kushindanishwa
are you done?anything more?
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wape


Yani hicho unachokiongea ni uzushi hakuna mwananchi anayemsifia kikwete zaidi wananchi wengi wanaisikitikia ccm na kujuta kuichagua sasa we endelea kunywa panadol ccm inakufa hivyo.
 
Mafilili = ni sawa na fisi kikwetu , sasa tutegemee nini toka kwa fisi

Kikwetu Mafilili = mtu aliefifia akili karibia na kufa!
Hebu fikiri, watu waliotuibia mabilioni na kusababisha hali ngumu, aliewaweka anawapumzisha wakatumie vizuri ngawira yao ili aweke wengine waje waendeleze libeneke (kumbukeni hii sio mara ya kwanza kuvunja baraza la mawaziri kwa sababu hizohizo) halafu kuna mijitu Mafilili eti yanasheherekea, kama si Ujuha wakupitukia ni nini? K*many*ko zao!
 
Nimegundua wafuasi wa CDM mwapenda kusifiwa TU, mnakuwa vipofu serikali ya CCM inapofanya mambo mazuri kwa manufaa ya watanzania walio wengi

Hoja umeileta kishabiki san na kuanza kutufanya wtz wote ni mazumbukuku. ukweli ni kwamba jk amevunja baraza bila kupenda kwani sio jadi yenu ccm kuwajibishana ila maji yamezidi unga ndomana ameamua kuvunja.
Lakini sio kweli kuwa watz wengi wamefurahia ila wamezidi kusikitika kwa jinsi viongozi wengii wa ccm wanavyoitafuna nchi kwa kujinufaisha na familia zao huo ndo ukweli tembea maeneo mengi utasikia watu wanavyoiponda ccm.
 
Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
MAFILILI, pole sana ndugu yangu. Hebu tukumbushane tu kidogo;
Twasubiri miujiza ya mwenyezi mungu ili tupate okoka katika lundo la kashfa na tuhuma mitaani na bungeni. Mie leo nimepata taabu kusikiliza mazungumzo ndani ya daladala toka Gongo la Mboto hadi Posta; njia yote ni kukisema vibaya chama chetu tukipendacho CCM. Ilikuwa ni kushindana kutoa msururu wa kashfa dhidi ya CCM kana kwamba chama chetu hakijafanya jambo lolote la maana kwa watanzania. Ilibidi Tazara nishuke katika lile daladala nichukue bodaboda kwani uvumilivu ulikuwa mdogo, wasafiri hawana na neno zuri kwa CCM niipendayo.
WENYEVITI wa mitaa ya Ilemi na Ilolo Kati, Wilaya ya Mbeya Mjini wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wanasiasa hao Ngamba Ngamba wa Ilolo Kati na Joseph Mbele wa Ilemi, walirudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA jana katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Sinde jijini hapa. Mbali na wenyeviti hao makada wengine watatu wa chama hicho akiwamo Atusekelege Asubisye, ambaye ni balozi katika Mtaa wa Ilolo Kati nao walijiunga na CHADEMA, kwa kile walichodai ni kuchoshwa na CCM yenye ahadi nyingi zisizotekelezeka.
Mwananchi said:
Kitendo cha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Mkoa wa Arusha, James Millya kukihama ghafla chama hicho na kujiunga na Chadema kimekitikisa chama hicho tawala na jana kwa nyakati tofauti, viongozi wake walitoa matamko mbalimbali kumkejeli
.
Lowassa aonja nguvu ya Chadema - Mji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa wakipiga miluzi kwa sauti kubwa na kuonyesha alama ya vidole viwili juu ishara ya chama hicho.
Chadema yakamata ngome ya CCM Kyaka - CDM kimeshinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Burifani, Kata ya Kyaka, wilaya ya Misenyi, ambacho ni makazi ya Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshana. Mgombea wa CDM, Deogratias Laurian, alipata kura 401 dhidi ya kura 129 za Mathias Kibarwiga wa CCM. Placid Vedasto wa TLP alipata kura 2.
CCM imeonja joto la jiwe kwa wimbi kubwa ambalo limetikisa si umoja wa vijana tu, ila hata vikongwe ambao walikuwa damudamu na CCM kuanza kuikimbia Jembe na nyumba na kujiunga na Chadema.
Mbunge wa CCM Jimbo la Geita amenusurika kichapo leo hii baada ya kutuhumiwa kulinda ubadhirifu katika baadhi ya kata Jimboni humo. Amezomewa na wananchi na mkutano umevunjika na wananchi wanasema hawamtaki Mbunge huyo wala diwani. Source: ITV News.
wapenzi na wanachama wa chadema napenda niwape nilicho kishuhudia hapa arusha muda huu kwenye bar moja maarufu inaitwa picnic hakika inatia moyo ni pale mmachinga aliyetokea ghafla kwenye hii bar usiku huu akiwa tisheti na baadhi ya kofia ndipo alipojitokeza mtu na pesa zake na kununua kofia zote na skafu na tisheti na kuwagawia watu ambao ni wapenzi wa chadema. Hakika ilikuwa ni furaha sana na mimi nimeshawishika kurudi dar nihamasishe wapenzi na wanachama wa chadema waonyeshe moyo walionao na mapenzi ya kweli kwa hiki chama
Mwananchi said:
KAULI ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Arusha, James Ole Millya kwamba idadi kubwa ya wanaCCM watamfuata baada ya kuhamia Chadema imeanza kujidhihirisha baada ya Diwani wa Kata ya Sombetini, Alphonce Mawazo na Katibu wa Uhamasishaji wa UVCCM Wilaya ya Longido, Yohana Laizer kutangaza kuondoka chama hicho tawala jana.
MAFILILI kwa kujisahau...! Kwa unafiki unasikitisha, unaudhi na unatia huruma! Eti CCM mwendo mdundo! Chadema yaanguka...kweli CCM ni Chama Cha Mazezeta!
 
CDM wanaset agenda and CCM wanareact kufanya CCM ndio haina sera wala haitekelezi ilani ya uchaguzi 2015 magamba watarecycle ya ilani 2010 kama kawaida yao kudanya wana wakati mugumu sana.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

kwa mtu mwenye akili anajua kwamba JK kawapa credit CHADEMA kwa kuikubali hoja yao, hiyo inamaanisha chadema ni vichwa kuliko magamba na kila hoja wayotoa inamshiko. hiyo ni hoja ya pili JK kuikubali kutoka chadema ya kwanza ilikuwa ya katiba mpya.........chezea kitu ingine siyo chadema
 
Wewe ni mgeni humu JF? soma thread ya Kigangwala aliirusha jana humu jamvini ndio utaona hoja ya Zitto ilikuwa ya kukurupuka vibaya sana na haina mashiko na isinge fanikiwa

Sasa kama hoja ya zitto isingefanikiwa mbona baba mwanaasha ameshauriwa kuvunja baraza na amevunja
 
Back
Top Bottom