CCM muondoeni mh lusinde livingstone kwenye kampeni arumeru

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
leo nmehudhuria kampen za ccm ktk kata ya mbuguni kwa kweli ccm haina sera bali matusi ambayo matusi hayo yanaongozwa na lusinde na olesendeka.wazee wambuguni wamekasilishwa na matusi yenu.ntawa2mia crip ya matusi niliyoirekodi
 
Kati ya vichwa ndani ya ccm vinavyolelewa bike kuwa makada na viongozi ni Lusinde kibajaji.

You can imagine aina ya vision ya ccm na wanakotaka kulipeleka taifa hili!!!
 
leo nmehudhuria kampen za ccm ktk kata ya mbuguni kwa kweli ccm haina sera bali matusi ambayo matusi hayo yanaongozwa na lusinde na olesendeka.wazee wambuguni wamekasilishwa na matusi yenu.ntawa2mia crip ya matusi niliyoirekodi

hawa wote ni wahuni!
 
Katika wabunge ovyo kabisa wa magamb huyu ndo nambari one sa cjui ni bange ile kauli aliyowahi kutoa Bungeni kwamba tufunge milango tutwangane makonde mie ndo ilinipa picha kuwa ni kiumbe wa aina gani.
 
hawa wote ni wahuni!

Kweli hao Lusinde na Ole Sendeka ni wahuni maana hata kwenye mkutano wa bunge waliisha wahi kumtukana Tundu Lissu lakini baada ya rais wao kumkubali na kuruhusu masahihisho ya muswaada wa katiba mpya,mkutano uliopita Ole Sendeka alikula matapishi yake kwa kuanza kumsifia Tunu Lissu.Hata Joshua Nassari baada ya uchaguzj wataanza kumsifia.
 
Hakuna siku kwangu inayopita bila kumpuuza Lusinde. Lusinde ni kama MSUKULE hivi. Hajawahi kuushirikisha ubongo wake hata kwa asilimia 0.00001%
 
Mmh hiyo comment ya Rev Mzito ni hatari maana sijawahi kuisikia wala kuiwazia .ila nimecheka sana baada ya kuangalia mahusiano ya ubongo na kila koungo cha binadamu.
 
Muacheni jamani atakula wapi, uyo ndiye atawapa ushindi Chadema, atajikanyaga tu, then watu wanapata point ya kuwamaliza.
 
Acha atukane hana lolote,siku tukichukuia Nchi hii Hutu Lusinde atakuwa wa Kwanza kuchapwa viboko,Hana lolote Mavi ya Kuku tuuuu!!tutashinda tuuu Makamanda
 
Kha! Ole Semdeka anampigia kampeni mkwe wa mamvi? Si walitoleana bastola naye lushotakiwa mahakamani na kushinda kesi? Kwa gharama za lawyer kulipiwa na Mengi?

mengi sijui atajisikiaje kwa mjamaa huyu asiyekuwa na fadhila!
 
eti anasema ccm wamewatia mimba cdm hvyo wasubili kuzaa april 1
 
sisiemu wamepoteza umakini kabisa, sisiemi ni wezi tu>>> kuichagua sisiemu ni kuchagua umaskini milele
 
Kwahiyo Ole Sendeka na Lusinde wamekuwa wasemaji wa kampeni ya Sioi? basi kweli CCM imekufa. Hawa jamaa (CCM) wako kwenye death list hakika.
 
Back
Top Bottom