CCM Mnalijua hili?NAPE hebu nijibu haya maswali nipate kulielewa hili!

....,............., na kwa kuongezea tu ni kwamba, wengi wa mashabiki wenu wenye sifa za kupiga kura watakuwa wamekufa by 2015.

Bonge la point.nakupa tano kiongozi!

unasifia ujinga
 
Nape na CCM yake wanajua yote hayo ndio maana wamechagua njia ya kuwanyima elimu na ajira ili ikifika 2015 wawe dhaifu kiasi cha kushawishika na pilau, Tshirt na Khanga. Lowassa alikuwa genius kuanzisha mradi wa shule za kata ili kuwanyima elimu kizazi kijacho wabakie maskini, Nape kilaza hawezi haelewi kitu hapo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Waache wapande mbegu ya kushindwa kwao 2015. Watuue tu lakini hawatatumaliza. Damu za watanzania zinazomwagika kila uchao kwa njia mbalimbali ikiwa ni matokeo ya ulevi wa kijinga wa madaraka; ni laana dhidi yao, chama chao na familia zao. 2015 yetu macho!
 
Anaepandikiza udini ni cha..de..ma,sio ccm kwa sababu tangu 1977 ccm ilipoanzishwa ipo madarakani hadi leo hatujaliona wala kuliskia hilo,iweje leo ktk uwepo wa magwanda?ni wenye akili timamu ndio wanaweza kujiuliza na kupata jibu sahihi juu ya hili.

Zungumza kwa uelewa ndugu!mifano ipo!igunga ccm ili2mia dini kama bendera na barua ziliandikwa kwa viongozi wa dini ili waisafishie njia ccm na iliona ikipandikiza dini itawagawa watz na hvyo wngi watapumbzka kwa hyo agenda na kuzidi kuipigia kura kumbe cvyo!
 
Anaepandikiza udini ni cha..de..ma,sio ccm kwa sababu tangu 1977 ccm ilipoanzishwa ipo madarakani hadi leo hatujaliona wala kuliskia hilo,iweje leo ktk uwepo wa magwanda?ni wenye akili timamu ndio wanaweza kujiuliza na kupata jibu sahihi juu ya hili.

CCM ilipoona inazidiwa nguvu na CUF hasa kule Zenji walikimbilia dhana ya udini umesahau? Na sasa wanawabambikia udini CDM. Kweli CCM vigeugeu sana.
 
Anaepandikiza udini ni cha..de..ma,sio ccm kwa sababu tangu 1977 ccm ilipoanzishwa ipo madarakani hadi leo hatujaliona wala kuliskia hilo,iweje leo ktk uwepo wa magwanda?ni wenye akili timamu ndio wanaweza kujiuliza na kupata jibu sahihi juu ya hili.

udin imekuwa ndo nguzo ya ccm kuwagawa watz kwa kuwa ni wazembe wa kufikiri nini maana haswa ya siasa za vyama vingi,2liona Cuf,tlp wakapandikwizwa udini leo Cdm kisa wako moto,hii Cdm haitateteleka kwa mbinu hvyo za ccm mpaka kieleweke.
 
Anaepandikiza udini ni cha..de..ma,sio ccm kwa sababu tangu 1977 ccm ilipoanzishwa ipo madarakani hadi leo hatujaliona wala kuliskia hilo,iweje leo ktk uwepo wa magwanda?ni wenye akili timamu ndio wanaweza kujiuliza na kupata jibu sahihi juu ya hili.

Raisi wa marekani hana akili, unawaza kwa kutumia mata....! kwa hofu ya magamba kutolewa madarakni, mnajitahidi kila mbinu kuwaaminisha watanzania kwa propaganda zenu chafu za kupandinkiza udini na ukabila! watanzania walikuwa hawana pa kusemea, acha chadema wachukue dola, Koma gamba kupotosha umma!
 
namba ya simu ya nape huna? Email yake je? Ofisi ndogo za ccm hujui zilipo? Sio kila ***** utuwekee hapa hata kama unamhusu mtu binafsi

Kuna chupa kinywaji ina alcohol 56% vipi utaimudu?
 
Back
Top Bottom