CCM Mnalijua hili?NAPE hebu nijibu haya maswali nipate kulielewa hili!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
1.Kati ya watu wanaokadiriwa kufikia 20000000 waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2010,takribani watu 12000000 hawakupiga kura!
2.Siyo watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 na zaidi walijiandikisha kupiga kura
3.Wote waliokuwa na miaka 13 mwaka 2010 watakuwa na miaka 18 mwaka 2015 hvyo watakuwa na sifa ya kujiandikisha kupiga kura.
Swali langu ni Je!matukio ya mauaji,uongozi mbovu wa kitabaka na kupeana,matusi majukwaani,ufisadi ndani ya chama na serikalini,udini mnaopandikiza ndani ya watzania,ukandamizaji wa demokrasia na mengineyo mengi ndiyo njia mliyochagua kuwashawishi haya makundi ili yaweze kuwakubali 2015?
KAZI MNAYO 2015!
 
absolutely right ... they have neglected the fact of "next generation"

it will cost them
 
namba ya simu ya nape huna? Email yake je? Ofisi ndogo za ccm hujui zilipo? Sio kila ***** utuwekee hapa hata kama unamhusu mtu binafsi
 
1.Kati ya watu 20000000 waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2010,watu 12000000 hawakupiga kura!
2.Siyo watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 na zaidi walijiandikisha kupiga kura
3.Wote waliokuwa na miaka 13 mwaka 2010 watakuwa na miaka 18 mwaka 2015 hvyo watakuwa na sifa ya kujiandikisha kupiga kura.
Swali langu ni Je!matukio ya mauaji,uongozi mbovu wa kitabaka,matusi majukwaani,ufisadi ndani ya chama na serikali,udini mnaopandikiza ndani ya watzania,ukandamizaji wa demokrasia na mengineyo mengi ndiyo njia mliyochagua kuwashawishi haya makundi ili yaweze kuwakubali 2015?
KAZI MNAYO 2015!

adui aonyeshwi mbinu za kujilinda
 
Nashawishika kusema kua kila kitu wanakijua na kutakua na sababu juu ya hili, au ile elimu ya Majority rule and Minority rights haipo mikononi mwao?. Ila ni kawaida kwa aliekua madarakani kuhodhi mamlaka akijua hakuna atakaemtoa hasa katika nchi changa kama za Afrika yetu.
 
1.kati ya watu 20000000 waliojiandikisha kupiga kura mwaka 2010,watu 12000000 hawakupiga kura!
2.siyo watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 na zaidi walijiandikisha kupiga kura
3.wote waliokuwa na miaka 13 mwaka 2010 watakuwa na miaka 18 mwaka 2015 hvyo watakuwa na sifa ya kujiandikisha kupiga kura.
Swali langu ni je!matukio ya mauaji,uongozi mbovu wa kitabaka,matusi majukwaani,ufisadi ndani ya chama na serikali,udini mnaopandikiza ndani ya watzania,ukandamizaji wa demokrasia na mengineyo mengi ndiyo njia mliyochagua kuwashawishi haya makundi ili yaweze kuwakubali 2015?
Kazi mnayo 2015!

weunajuaje kuwa hayo makundi yanavutiwa au hayavutiwi na matusi yanayotolewa?
Maana kizazi hiki tulichonachi unaweza sema hiki si maadili wao ndo wanakipenda kaka
ila tufikirie kisha tuchukue hatua
 
namba ya simu ya nape huna? Email yake je? Ofisi ndogo za ccm hujui zilipo? Sio kila ***** utuwekee hapa hata kama unamhusu mtu binafsi

ni pamoja na wewe kama mwana ccm ndugu.unaweza kutueleza pia
 
weunajuaje kuwa hayo makundi yanavutiwa au hayavutiwi na matusi yanayotolewa?
Maana kizazi hiki tulichonachi unaweza sema hiki si maadili wao ndo wanakipenda kaka
ila tufikirie kisha tuchukue hatua

kwa hiyo kwa mawazo yako unafikiri haya matusi ndio njia sahihi?na mauaji,udini,uongozi mbovu nk unavizungumziaje?ni njia stahiki pia?
 
Nape ataongea nini na serikali ya baba yake inauwa watu wasio na hatia??? Ataanzia wapi hujui ni aibu kubwa kwa matukio yaliyotokea??? Kwani huoni hata mzee wa liwalo na liwe haongei??? mzee wa kaya naye kimyaaaa kama sio mwenye nchi???
 
namba ya simu ya nape huna? Email yake je? Ofisi ndogo za ccm hujui zilipo? Sio kila ***** utuwekee hapa hata kama unamhusu mtu binafsi

Oh hoooo mwenzetu vipi tena yamekuwa hayo? mbona matusi asubuhi asubuhi. hilo bonge la point mwanangu, na kwa kuongezea tu ni kwamba, wengi wa mashabiki wenu wenye sifa za kupiga kura watakuwa wamekufa by 2015, na mkakati wa kuongeza wengine ndo hamna... kazi mnayo.
 
....,............., na kwa kuongezea tu ni kwamba, wengi wa mashabiki wenu wenye sifa za kupiga kura watakuwa wamekufa by 2015.

Bonge la point.nakupa tano kiongozi!
 
Anaepandikiza udini ni cha..de..ma,sio ccm kwa sababu tangu 1977 ccm ilipoanzishwa ipo madarakani hadi leo hatujaliona wala kuliskia hilo,iweje leo ktk uwepo wa magwanda?ni wenye akili timamu ndio wanaweza kujiuliza na kupata jibu sahihi juu ya hili.
 
Ni chama gani cha siasa hapa tanzania chenye wachungaji na mapadre wengi
 
....,............., na kwa kuongezea tu ni kwamba, wengi wa mashabiki wenu wenye sifa za kupiga kura watakuwa wamekufa by 2015.

Bonge la point.nakupa tano kiongozi!

mungu ni msikivu kwa dua na achukue kwanza roho yako kabla ya hao wengine
 
Asilimia 60 ya watanzania wote wapo chini ya miaka 18.

Hiyo voter registration ni ya uongo, na vyama vya upinzani inaitumia sana hii system, ila 2015 mtaona mabadiliko .... tulizeni boli dawa yenu ipo jikoni.
 
Back
Top Bottom