CCM Kwa hili kuweni makini na huu mpango wenu!

Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C.
Hiyo CCM imeshakufa wala usipoteze muda wako kuitetea. Angalia tu vijana, wenye umri wa kati, na wakongwe wanavyoikimbia.
 
Machafuko gani na wewe nae, au hukuona hao vijana wenu walivyo timua mbio huko moro? Nyie si mnajifanya ni wapenda fujo? Basi lianzisheni. Tunajua wazi kuwa mnawalipa vijana wafanye fujo lakini dawa yenu inakuja.

Tutahakikisha kuwa tunakuvua gamba lako pamoja na la mkeo 2015.
 
Machafuko gani na wewe nae, au hukuona hao vijana wenu walivyo timua mbio huko moro? Nyie si mnajifanya ni wapenda fujo? Basi lianzisheni. Tunajua wazi kuwa mnawalipa vijana wafanye fujo lakini dawa yenu inakuja.

Kwenye red hapo nyie ni kina nani? Halafu kama unajuwa aliyelipwa na anayewalipa si utaje majina? Au ndio yale mambo ya "comrade"?
 
CCM imechaguliwa na 70% ya watanzania. sasa hao 30% ndio watawatoa?
mbwa huwa hakamuliwi maziwa na sawa na mwanaccm hawezi kuwa nmzinzi ,mwehu malaya,mfitini,muongo,mchawi na tabia zote ambazo mungu anazilaani na ni wewe majeberea akili timamu kuwa mwana ccm 90%lazima uwe
 
Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C.
Ni kweli kabisa hela hizi unagawa wewe na magamba wengine!..., Kazi hii umetumwa na nape na mukama kusambaza hela mlizoiba TANESCO, bandarini na BOT n.k.. Ndiyo maana hivi sasa mafisadi wote mnawasafisha!!!!!!.
 
"Those who made peaceful revolution impossible, will make violent revolution inevitable." John F. Kennedy
Kamanda, Gamba hili - majebere halitaelewa!... LAZIMA LIPATE TAFSIRI!... kwani anayeshabikia CCM either hana elimu au ni FISADI!... ....Rais Kennedy wa marekani alisema, ............ "Wanaofanya mapinduzi ya amani (kwa sanduku la kura) watafanya mapinduzi ya vurugu yasiepukike!" ....Hujuma zozote dhidi ya njia za amani kudai demokrasia ni lazima zijibiwe kwa hasira kali!!... .... LIWALO NA LIWE!....
 
"Those who made peaceful revolution impossible, will make violent revolution inevitable." John F. Kennedy
Kamanda, Gamba hili - majebere halitaelewa!... LAZIMA LIPATE TAFSIRI!... kwani anayeshabikia CCM either hana elimu au ni FISADI!... ....Rais Kennedy wa marekani alisema, ............ "Wanaofanya mapinduzi ya amani (kwa sanduku la kura) yasiwezekane, ...........watafanya mapinduzi ya vurugu yasiepukike!" ....Hujuma zozote dhidi ya njia za amani kudai demokrasia ni lazima zijibiwe kwa hasira kali!!... .... LIWALO NA LIWE!....
 
Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama walivyokuwa wamepanga.

CCM wamekuja kushtuka baada ya mikutano iliyofanyika mkoani morogoro hasa baada yakuwa na hamasa kubwa kwa vijana kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa hapo hawali!.
Morogoro ni Mkoa pekee CCM ilijivunia kwakuwa na wabunge wengi waliongozwa na CCM!Sasa baada yakuona vijana wamebadilika nakuwa na mwamko wa kisiasa sasa wameamua kuagiza viongozi wote wa mikoa na wilaya kupambana na M4C nchi nzima!!

Maoni yangu nikuwa CCM mtaitumbukiza hii nchi katika machafuko makubwa.
mimi nasema kwakutumia Polisi CCM mtasababisha vurugu kubwa kwenye hii nchi kwani Vijana watafika mahali watashindwa kuvumilia udhalimu unaofanywa na CCM!
Wamtume Nape akasimame katikati ya barabara na kuzuia watu wasiende mkutanoni. Sii alikuwa anaikimbilia nyuma? Au mbio zimemzidi nguvu nini. Hakuna CCM Tanzania ilishazikwa kule bungeni Dodoma.
 
Asante Dr Slaa kwa tamko lako kuwa CHADEMA ni wazalendo na watasimamisha shughuli zote za M4C kwa muda huu wa sensa kwa muda wa siku 5!Hii ni ishara tosha umewajua mapema kabla ya wao hawajakujua kwani walitaka watutege kwenye uvurugaji wa sensa!
 
Kwaiyo CDM ilichaguliwa na watu milion 2 tu?Serikali inachaguliwa na wapiga kura wewe,sasa hata kama watu kumi walijitokeza na 7 waka chagua ccm maana yake ni nini? Ujuaji mwingine bana ni tabu.

Unazidi kuonyesha umbumbu wako. Kama watu waliojiandikisha ni 20m(approx.) then waliompigia kura (actually kura zilizo chakachuliwa) ni 5m then simple math ina sema kwamba amechaguliwa na (5m/20m)x100=25% ya WATANZANIA WOTE. Sasa kipi hapo huelewi???? We umesema 70% ya watanzania!!!!! Acha ujinga wewe. Una bore sana wewe mjinga, even simple maths hujui!!!! Very saddening.
 
Majebere wewe ndie martin shigela, mbona we ni mgumu kuelewa . Unataka nyaraka za nini wakati hali halisi tunaiona.
 
Kwaiyo CDM ilichaguliwa na watu milion 2 tu?Serikali inachaguliwa na wapiga kura wewe,sasa hata kama watu kumi walijitokeza na 7 waka chagua ccm maana yake ni nini? Ujuaji mwingine bana ni tabu.

Tatizo la magamba ni kusema 'nyeusi' ni ,'nyeupe' na kinyume chake. Nani asiyejua uchakachuaji wa ajabu uliofanywa na tume? Huwezi kuidanganya nafsi yako, maana unaweza kusema moyo upendayo lakini nafsini unajua ukweli.
 
Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama walivyokuwa wamepanga.

CCM wamekuja kushtuka baada ya mikutano iliyofanyika mkoani morogoro hasa baada yakuwa na hamasa kubwa kwa vijana kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa hapo hawali!.
Morogoro ni Mkoa pekee CCM ilijivunia kwakuwa na wabunge wengi waliongozwa na CCM!Sasa baada yakuona vijana wamebadilika nakuwa na mwamko wa kisiasa sasa wameamua kuagiza viongozi wote wa mikoa na wilaya kupambana na M4C nchi nzima!!

Maoni yangu nikuwa CCM mtaitumbukiza hii nchi katika machafuko makubwa.
mimi nasema kwakutumia Polisi CCM mtasababisha vurugu kubwa kwenye hii nchi kwani Vijana watafika mahali watashindwa kuvumilia udhalimu unaofanywa na CCM!

umeitaja CCM mara NANE 8 katika paragrapg tatu.kweli ccm inapendwa
 
Tatizo la magamba ni kusema 'nyeusi' ni ,'nyeupe' na kinyume chake. Nani asiyejua uchakachuaji wa ajabu uliofanywa na tume? Huwezi kuidanganya nafsi yako, maana unaweza kusema moyo upendayo lakini nafsini unajua ukweli.

endeleeni kudanganyana huko kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Mbona unaandika matusi sana wewe?ndio ustaarabu huo? asilimia mia moja ya watu milioni tano ni ngapi?acha upuuzi wako.
 
Wamtume Nape akasimame katikati ya barabara na kuzuia watu wasiende mkutanoni. Sii alikuwa anaikimbilia nyuma? Au mbio zimemzidi nguvu nini. Hakuna CCM Tanzania ilishazikwa kule bungeni Dodoma.

wewe unaonekana una chuki ya asili kama slaa.haya yote uliyoandika hapa ni hisia zako za kihuni tu.
 
Arusha na igunga ndio Tanzania nzima? Halafu mbona mkikosa wa kumlaumu mnarukia Usalama wa Taifa, kama mliibiwa kura mbona vingozi wenu walijikusanya Ikulu?

Dada mdomo unatema ile mbaya! Mbona ma hwaiti denti kibao tu kitaa, changamkia mswaki sister.
 
Back
Top Bottom