CCM Kwa hili kuweni makini na huu mpango wenu!

Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama walivyokuwa wamepanga.

CCM wamekuja kushtuka baada ya mikutano iliyofanyika mkoani morogoro hasa baada yakuwa na hamasa kubwa kwa vijana kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa hapo hawali!.
Morogoro ni Mkoa pekee CCM ilijivunia kwakuwa na wabunge wengi waliongozwa na CCM!Sasa baada yakuona vijana wamebadilika nakuwa na mwamko wa kisiasa sasa wameamua kuagiza viongozi wote wa mikoa na wilaya kupambana na M4C nchi nzima!!

Maoni yangu nikuwa CCM mtaitumbukiza hii nchi katika machafuko makubwa.
mimi nasema kwakutumia Polisi CCM mtasababisha vurugu kubwa kwenye hii nchi kwani Vijana watafika mahali watashindwa kuvumilia udhalimu unaofanywa na CCM!

Mie huwa napata shida sana na uelewa mchache wa wana JF. Nilitegemea habari kama hii uilete na ushahidi humu jamvini wa nyaraka zilizotumwa kwa Ma - RC, DC, RPC kutoka CCM zinazo zuia hayo maandamano ya cdm. Lakini kuja hapa na blah blah kama hizi zinaonyesha mtoa mada haja fanya assignment yake sawa sawa bali hoja za kukurupuka na kukosa mashiko.

shoda ya watu wezi ni kwenye kuelewa,wewe unataka nyaraka kwani huoni yanayotokea???au hujua kama mkuu wa wilaya ndiye boss wa jeshi la polisi ambaye ndiye kada kinara wa nyinyiemu wiliya.likewise mikoa.sasa nyaraka zitakusaidia nini kama hili hulijui???usiniharibie siku aiseee.
 
Mie huwa napata shida sana na uelewa mchache wa wana JF. Nilitegemea habari kama hii uilete na ushahidi humu jamvini wa nyaraka zilizotumwa kwa Ma - RC, DC, RPC kutoka CCM zinazo zuia hayo maandamano ya cdm. Lakini kuja hapa na blah blah kama hizi zinaonyesha mtoa mada haja fanya assignment yake sawa sawa bali hoja za kukurupuka na kukosa mashiko.

Nani anaongelea maandamano hapa?? Mtoa mada anaongelea mikutano.....and that is a fact.
Haiwezekani ghafla Sensa ni issue ya kuzuia mikutano isifanyike....Iringa wamezuia na Mwanza wamezuia.

Taarifa za mikutano zimetolewa na kukubaliwa. Morogoro jana mkutano umefanyika....au jana hakukuwa na Sensa??

This is the stupidest thing ever, and whoever supports it must be the leading Idio.t in that group.

Au mmefanya analysis ya damage kwa chama chenu mkaona nakula kwenye right left and centre, mkaona the only thing is to play 'postpone game' kwamba kuliko damage leo na kesho, afadhali damage leo na keshokutwa.

What a bunch of pumpkin heads.
 
Wazee wenye hekima na busara wa nchi hii wako wapi.JK washauri wako wanafanya nini.Viongozi waandamizi muko wapi.Tunakoelekea kama nchi hivi sasa ni giza,tulipo hakueleweki na tulipotoka ni kitendawili.Viongozi wa Waamini wa nchi hii kulikoni.Jitihada za pamoja zinahitajika kwa wote niliowataja vinginevyo tusije kumlaumu Mwenyezi Mungu bali tujilaumu wenyewe kwa yaliyotokea,yanayotokea na yatakayotokea.
 
Ni kama 60% tu Mheshimiwa. Ambayo inashuka mwaka hadi mwaka. mfano mwaka 2005 tu ilikuwa 80.2%, HIZO 20% zimeenda wapi ? Nini kitazuia hizo 20% zisiongezeke na kufika 50%, 60% na hata 70%. Napita njia tu.

Weka ushahidi kuwa zinashuka, mie na uhakika zinaongezeka

Kwanini wasisubiri shughuli za sensa zikaisha? Au ndio mlishatoa hela kwa vijana mkaona mkibadili tarehe itabidi mlipe tena?
 
Weka ushahidi kuwa zinashuka, mie na uhakika zinaongezeka

Tatizo lao wanaona hao majobless wanavyo kusanyika ndio manapata takwimu zao, wamesahau hao vijana wako hapo kwaajili ya kujipatia kitu kidogo. Wewe jiulize hata yule aliefariki alikua ni mwanachama? Mikutano inafanyika mida ya kazi,majobless ndio wanapata pa kwenda tena na kulipwa juu
 
Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama walivyokuwa wamepanga.

CCM wamekuja kushtuka baada ya mikutano iliyofanyika mkoani morogoro hasa baada yakuwa na hamasa kubwa kwa vijana kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa hapo hawali!.
Morogoro ni Mkoa pekee CCM ilijivunia kwakuwa na wabunge wengi waliongozwa na CCM!Sasa baada yakuona vijana wamebadilika nakuwa na mwamko wa kisiasa sasa wameamua kuagiza viongozi wote wa mikoa na wilaya kupambana na M4C nchi nzima!!

Maoni yangu nikuwa CCM mtaitumbukiza hii nchi katika machafuko makubwa.
mimi nasema kwakutumia Polisi CCM mtasababisha vurugu kubwa kwenye hii nchi kwani Vijana watafika mahali watashindwa kuvumilia udhalimu unaofanywa na CCM!
M4C iko mioyoni mwa watu. Ni ngumu sana kuizuia.
 
CCM WATUMIE SANA AKILI, GADAFI NA CHAMA CHAKE WERE REAL STRONGER NA WALING'OKA SEMBUSE AWA CCM? MBONA AWA WACHUMBA TU, NA HERI WANG'OKE SALAMA ILA MATUMIZI YA RISASi RIL WATAISHIA THE HAGUE

hata waanzisha fujo wanaweza kwenda huko the hague
 
Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C.

mmh MAJEBELE unasema uongo na mwanga wote huu? je usiku si itakuwa balaa.
 
quote_icon.png
By majebere
CCM imechaguliwa na 70% ya watanzania. sasa hao 30% ndio watawatoa?

Ni kama 60% tu Mheshimiwa. Ambayo inashuka mwaka hadi mwaka. mfano mwaka 2005 tu ilikuwa 80.2%, HIZO 20% zimeenda wapi ? Nini kitazuia hizo 20% zisiongezeke na kufika 50%, 60% na hata 70%. Napita njia tu.

In fact sio 60%. Huyo mjinga anasema 70% ya watanzania. Lakini ukweli ni kuwa 20m (approx.) voters ndo waliojiandikisha na only 8m voted. Hivyo haiwezi kuwa hata 30% ya watanzania wote(i mean eligible voters) 20m. Check the maths again. Hayo majitu majinga kabisa!!!! Aaaaagrrrrrrr!!!!
 
Wameshikwa sehemu mbaya ccm kama alivyo shikwa Mtikila na askofu wa Anglikana
 
Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama walivyokuwa wamepanga.

CCM wamekuja kushtuka baada ya mikutano iliyofanyika mkoani morogoro hasa baada yakuwa na hamasa kubwa kwa vijana kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa hapo hawali!.
Morogoro ni Mkoa pekee CCM ilijivunia kwakuwa na wabunge wengi waliongozwa na CCM!Sasa baada yakuona vijana wamebadilika nakuwa na mwamko wa kisiasa sasa wameamua kuagiza viongozi wote wa mikoa na wilaya kupambana na M4C nchi nzima!!

Maoni yangu nikuwa CCM mtaitumbukiza hii nchi katika machafuko makubwa.
mimi nasema kwakutumia Polisi CCM mtasababisha vurugu kubwa kwenye hii nchi kwani Vijana watafika mahali watashindwa kuvumilia udhalimu unaofanywa na CCM!

Kwa nini usiseme watanzania hatutavumilia zaidi ukoloni mweusi?? watakuja kwa risasi lakini hawatabadili mioyo yetu. Tukifika kwenye nafasi ya kukabiliana nao wasitake suruhu. Hakuna lisilowezekana chini ya jua.
 
Mie huwa napata shida sana na uelewa mchache wa wana JF. Nilitegemea habari kama hii uilete na ushahidi humu jamvini wa nyaraka zilizotumwa kwa Ma - RC, DC, RPC kutoka CCM zinazo zuia hayo maandamano ya cdm. Lakini kuja hapa na blah blah kama hizi zinaonyesha mtoa mada haja fanya assignment yake sawa sawa bali hoja za kukurupuka na kukosa mashiko.

Ni kweli lazima upate shida sana maana uelewa wako uko mdomoni na sio kichwani.
Ushahidi gani unataka?
 
In fact sio 60%. Huyo mjinga anasema 70% ya watanzania. Lakini ukweli ni kuwa 20m (approx.) voters ndo waliojiandikisha na only 8m voted. Hivyo haiwezi kuwa hata 30% ya watanzania wote(i mean eligible voters) 20m. Check the maths again. Hayo majitu majinga kabisa!!!! Aaaaagrrrrrrr!!!!
Kwaiyo CDM ilichaguliwa na watu milion 2 tu?Serikali inachaguliwa na wapiga kura wewe,sasa hata kama watu kumi walijitokeza na 7 waka chagua ccm maana yake ni nini? Ujuaji mwingine bana ni tabu.
 
Basi leo vicheche vya CDM vitakesha humu JF kurudia single ya moro.
Hamna kitakacho badilika na tukio hili.
 
Tatizo lao wanaona hao majobless wanavyo kusanyika ndio manapata takwimu zao, wamesahau hao vijana wako hapo kwaajili ya kujipatia kitu kidogo. Wewe jiulize hata yule aliefariki alikua ni mwanachama? Mikutano inafanyika mida ya kazi,majobless ndio wanapata pa kwenda tena na kulipwa juu

Wenzio wanaangalia namba ya watu wanaojiandikisha kupiga kura, wanaopiga, then wanachukua asilimia ya ushindi dhidi ya kura zilizopigwa, na siyo dhidi ya idadi ya watanzania wote. ukiangalia namba ya wanaojiandikisha kupiga kura ni kubwa, lakini wanaopiga ni kidogo sana. tunachosema ni kwamba katika wale kidogo wanaopiga kura mwaka 2010 ni kama 60% tu ndio walichagua chama chetu, ikiwa mwaka 2005 karibu 80.2% walichagua chama chetu. huko ni kushuka. na hapa siyo ushabiki ni takwimu tu zilizoko kwenye website ya Tume ya uchaguzi. If I get time I can bring you some up to date information from which you can compare the percentages among contestants for the years 2000, 2005 and 2010.Hapa tunabadilishana mawazo tu ! hata tukibishana, tukichukiana, hakuna la maana sana tunaloweza kubadilisha, japo naamini tutakuwa tumeongezeana uelewa. Mimi binafsi najifunza mambo mengi sana hapa JF.
 
There is nobody to counteract this movement...Nature yote itaitikia in favour ya wale wote wanaomaanisha kuondoa evil doings nchini kwetu....Hii ni mwanzo tu bado garika lina kuja....Frustration ya CCM inakuja pale wanaposhindwa ku-connect where is the source na je chain of command inaendaje? Nilishwaeleza mapema hii ni well articulated issue hata CHADEMA wenyewe wanashangaa huo mwamko unatokea vipi na vipi vitu vinaenda infavour of them....Its a well articulated move like solitons if you know about ni small molecules lakini zinazoweza sababisha kuangusha miamba....The best is yet to come!

This time nilinusa kaharufu ka tight security pale airport nikagundua something is now sinking into peoples conscious kwamba is not just bali a true change....Msijisumbue mtaumiza viumbe wa watu bure...Wherever there is king's word there is liberty and the word of the king is a decree...Nobody called or associated to fisadi shall ever step his/her foot kwenye jumba lenye utukufu wa nchi says Ame the prince of this land! Change is a must mambo yalisha malizika ila tu manifestation ndiyo iliyobaki no less no more!
 
Back
Top Bottom