CCM Kwa hili kuweni makini na huu mpango wenu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama walivyokuwa wamepanga.

CCM wamekuja kushtuka baada ya mikutano iliyofanyika mkoani morogoro hasa baada yakuwa na hamasa kubwa kwa vijana kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa hapo hawali!.
Morogoro ni Mkoa pekee CCM ilijivunia kwakuwa na wabunge wengi waliongozwa na CCM!Sasa baada yakuona vijana wamebadilika nakuwa na mwamko wa kisiasa sasa wameamua kuagiza viongozi wote wa mikoa na wilaya kupambana na M4C nchi nzima!!

Maoni yangu nikuwa CCM mtaitumbukiza hii nchi katika machafuko makubwa.
mimi nasema kwakutumia Polisi CCM mtasababisha vurugu kubwa kwenye hii nchi kwani Vijana watafika mahali watashindwa kuvumilia udhalimu unaofanywa na CCM!
 
Nakubaliana na mtoa mada hii. Taratibu vijana wanaanza kujengewa uwezo wa uthubutu. Picha za jana za Morogoro zinaonyesha jinsi watu walivyoanza kujenga ujasiri wa kukabiliana na dola. Tukumbuke kuwa aliyeuawa kwa bunduki ya polisi ama ni jirani wa ccm/polisi, au mtoto wa mwanaccm/polisi, au shemeji wa polisi/mwanaccm au mpangaji wa nyumba ya baba wa polisi/ mwanaccm au ni rafiki wa mtoto wa mama wa polisi/ccm...nk...nk!
 
Machafuko gani na wewe nae, au hukuona hao vijana wenu walivyo timua mbio huko moro? Nyie si mnajifanya ni wapenda fujo? Basi lianzisheni. Tunajua wazi kuwa mnawalipa vijana wafanye fujo lakini dawa yenu inakuja.
 
Tukio la jan tu peke yake namna lilivyoonyeshwa na ITV kuwa baadae polisi waliwasindikiza waandamanaji kwenda kwenye mkutano wao halafu leo wamezuia mkutano wa Iringa na Mwanza inaonyesha dhahiri kuwa ccm wanatekeleza mpango wao wa kuzuia mikutano ya M4C.Hawataweza kuzuia hisia za wananchi kwa sasa na wanazidi kuwaongezea umaarufu wa kutisha CDM.Wananchi watawasubiri kwa hamu zaidi hata kama watawazuia kwa miezi kadhaa.Na mnapoendelea kuwazuia ndio wanaendelea kutafuta madudu zaidi yaliyofanywa na ccm na wakitoka nayo ndo shida zaidi
GO M4C NO RETREAT PEEEEOOOPLES
 
Kwa habari iliyopo kuwa CCM inapanga kukwamisha mpango wa CHADEMA kwa kuzuia M4C nchi nzima, baada ya kuagiza wakuu wa mikoa,RPC's wakuu wa wilaya,kuhakikisha M4C isifanye mikutano yao kama walivyokuwa wamepanga.

CCM wamekuja kushtuka baada ya mikutano iliyofanyika mkoani morogoro hasa baada yakuwa na hamasa kubwa kwa vijana kuliko ilivyokuwa ikidhaniwa hapo hawali!.
Morogoro ni Mkoa pekee CCM ilijivunia kwakuwa na wabunge wengi waliongozwa na CCM!Sasa baada yakuona vijana wamebadilika nakuwa na mwamko wa kisiasa sasa wameamua kuagiza viongozi wote wa mikoa na wilaya kupambana na M4C nchi nzima!!

Maoni yangu nikuwa CCM mtaitumbukiza hii nchi katika machafuko makubwa.
mimi nasema kwakutumia Polisi CCM mtasababisha vurugu kubwa kwenye hii nchi kwani Vijana watafika mahali watashindwa kuvumilia udhalimu unaofanywa na CCM!

Hivi raia tupo wangapi na polisi jumla wapo wangapi? hatujaamua tuu polisi twaweza kuwashinda hata wakisaidiana na Jeshi, mbona Mbeya walichinjwa sana wanajeshi na Polisi alafu yakakimbilia kwenye vyombo vya habari kwamba isitangazwe maana ni fedheha kwao
 
Mh! inaonekana ni moja ya maazimio ya kikao cha CC kilichofanyika ikulu kaaazi kweli kweli.
 
Hivi raia tupo wangapi na polisi jumla wapo wangapi? hatujaamua tuu polisi twaweza kuwashinda hata wakisaidiana na Jeshi, mbona Mbeya walichinjwa sana wanajeshi na Polisi alafu yakakimbilia kwenye vyombo vya habari kwamba isitangazwe maana ni fedheha kwao
Na nyie mtatumia keyboard zenu kama silaha sio?
 
Machafuko gani na wewe nae, au hukuona hao vijana wenu walivyo timua mbio huko moro? Nyie si mnajifanya ni wapenda fujo? Basi lianzisheni. Tunajua wazi kuwa mnawalipa vijana wafanye fujo lakini dawa yenu inakuja.

Naona unaongea kinyume
 
Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C.
 
CCM WATUMIE SANA AKILI, GADAFI NA CHAMA CHAKE WERE REAL STRONGER NA WALING'OKA SEMBUSE AWA CCM? MBONA AWA WACHUMBA TU, NA HERI WANG'OKE SALAMA ILA MATUMIZI YA RISASi RIL WATAISHIA THE HAGUE
 
Umeshatoka hospital?

"Those who made peaceful revolution impossible, will make violent revolution inevitable." John F. Kennedy
 
CCM WATUMIE SANA AKILI, GADAFI NA CHAMA CHAKE WERE REAL STRONGER NA WALING'OKA SEMBUSE AWA CCM? MBONA AWA WACHUMBA TU, NA HERI WANG'OKE SALAMA ILA MATUMIZI YA RISASi RIL WATAISHIA THE HAGUE
CCM imechaguliwa na 70% ya watanzania. sasa hao 30% ndio watawatoa?
 
Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C.

SIO SIRI KILA MTU ANAOGOPA KUFA, Lkn Dogo wa jana alikuwa ni machinga tu na kaonewa yule, 4ur information Chadema ela za kumwaga watazitoa wapi? iyo ni tabia yenu CCM MAFISADI, umeona jana watu wale NYOMI wamejilipia daladala na C kama CCM LZM MAFUSO PIA MABASI YAWEPO KANDO NA POSHO ZA KUWALIPA KWA KUUDHURIA MIKUTANO LZM WAPEWE,
 
Nikikumbika mamneno ya Nape alipo kuwa anaongea na waandishi wa habari ni dhahiri wamepanga kuharibu M4C ndio maana alijifanya mtabiri kumbe aliropoka bila kujua!

Na hawataweza kuzuia huu ndio wakati!

Nape:" cdm wamepanga kufanya vurugu morogoro na wameandaa vijana"

haya maneno ni ushahidi tosha CCm kuwaagiza askari na ma RC kuvuruga M4C.
 
Hakuna mtanzania alie radhi kupoteza maisha yake kwaajili ya CDM, hata viongozi wao wenyewe ni waoga wakubwa, wanahamasisha fujo halafu wao ndio wa kwanza kuruka ukuta. Tabia ya kuwapa pesa vijana wafanye fujo ndio sera ya M4C.

uswisi wewe uliwekewa dollar ngapi kwenye account?
 
Back
Top Bottom