CCM kushindwa Ibighi, dalili za CCM kupotea Rungwe

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
IBIGHI: KIELELEZO CHA DALILI ZA KUDHOOFIKA NA KUPOTEA KWA CCM WILAYANI RUNGWE

Mimi ni mwana CCM , moja ya ahadi za mwana CCM inasema, nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko

Ibighi Wilayani Rungwe ni sehemu moja iliyowahi miaka ya nyuma kuwa na makada na wakereketwa wengi na wakubwa katika CCM.

Kwa wale wasiopajua Ibighi, ni mkusanyiko wa vijiji vinavyozinguka sehemu inaitwa Katumba, njia panda ya kwenda Mwakaleli, karibu na Kiwanda cha Chai.

Katika kijiji hiki na maeoneo yake ndio wametoka watu mashuhuri kama Marehemu Col Mwakyambiki, aliyekuwa Mbunge wa Rungwe na waziri mdogo wa Ulinzi miaka ya Mwalimu. Maj General Mwakalindile(Ret) aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi JWTZ. Maj General (Ret) Martin Mwankanye wa JWTZ. Ni viongozi tuliowapenda sana kutoka hapo kijijini.

Ibhigi ni kitongoji kilichotoa viongozi wengi tu serikalini, ambao ungetegemea moto wa CCM usizimike.

Lakini kwa uhakika moto wa CCM si tu unafifia , lakini unaelekea kuzimika kabisa.

Hatuwalaumu wazee wetu ,hawa walifanya kazi ya kutukuka serikalini na katika chama.

What went wrong?

Ibighi ni kielelezo tu cha yanayokuja mbele kwa CCM wilayani Rungwe.

Kilometa 10 nyuma ya hapa Katumba kuelekea Mbeya kuna kitongoji kingine cha Kiwira ambacho zamani kilashatekwa na CHADEMA, tena kwa mbwembwe nyingi.

Kiwira ndio kitongoji kilichowahi kutoa Menyekiti wa CCM wilayani Rungwe, marehemu John Mwankja, aliyeuwawa kwa hila zinazohisiwa kwa za kisiasa.

Siasa za miongo ya karibuni imeiweka Jimbo la Rungwe kwa ujumla katika njia panda kisiasa.

Maendeleo yaliyowekezwa kiserikali ni wakati wa Mwalimu Nyerere.

HAKUNA uwekezaji wa maana ulioingia wilayani humu, aidha kipindi cha Mwinyi, Mkapa, Kikwete au hata sasa Magufuli.

Kiwanda cha chai ambacho sasa kinaendeshwa kitapeli kwa kuwakamua sana wakulima wa chai kilijengwa na Mwalimu Nyerere.

Barabara ya lami , mwendelezo wa barabara ya Uyole –Kasumulu kwenda Malawi ilijengwa miaka ya Mwalimu, na kukarabatiwa miaka michache baadaye.

Kwa hiyo anayekumbukwa kutoa si tu vingozi wa kutukuka na maendeleo ya kuonekana kwa macho, ni Mwalimu Nerere.

Hiyo ni miaka 33 iliyopita tangu Mwalimu anga’atuke!

Kijana wa miaka 33 leo wala hajui Mwalimu yukoje!!

Kwa miaka 33 hakuna uwekezaji mkubwa mpya wa barabara au miundo mbinu ya maana wilayani.

Sasa tukirudi Ibighi(Katumba) kna vijana wengi sana hapo walio chini ya umri wa miaka 33 ambao sit u hawajui nini serkali ya CCM imewafanyia wilayani, lakini hawana kazi wala maada wowote kurahisisha maisha na kipato kwa ujumla.

Kahawa na chai mazao yaliyokuwa yaliyokuwa yanalimwa yameondokea kuwa unyonyaji mtupu, maana gharama za kuhudumia zao ni kubwa kuliko kipato.

Na mazo haya yameacha kuwa mkombozi wa mkulima kwa miaka mingi sasa.

Zao la haraka lisilo na uingiliwaji mkubwa na serikali limebakia kuwa ndizi zinazosafirishwa kwenda mikoa mingine kwa ajili ya chakula.

Kwa mazingara haya CCM inaingia kwenye ushindani wa kisiasa katika mahali ambapo haikuwekeza kiuchumi wala liitikadi.

Watu hawali maneno!!

Na wananchi wa hapo si wajnga, wanajua kinachendelea mikoa mingine kama Mwanza Geita, Shinyanga, Arusha na kwingineko kwingi ambako miundombinu inakatiza hadi kwenye kata ndogo na zisizo na wananchi wengi kama wilaya ya Rungwe.

Kijijini Ibighi, nasikia makamu wa Mwenyekiti Mzee Phillip Mangula alifika hapo wakati wa kampeni za udiwani.

Na naambiwaa alifika na kuongea na wazee, kama Mzee mmoja kati ya wazee wa mwisho hapo kitongojini Mzee Kamilo, ili kujaribu kuokoa jahazi la CCM katika uchaguzi hapo Ibighi.

Lakini mambo yalisha haribika kitambo

Wazee wa rika la mzee Kamilo waishpotea siku nyingi sana.
Vijana wa umri wa wastani wa miaka 20 hadi 35, ni wale ambao hawajui kabisa CCM imewaltetea nini Wilayani kimaendeleo.

Mbunge tuliye naye S H Amon, hana mvuto wala mtaji wowote kisiasa kuweza kupigania na kuondoa doa hili la mendeleo hasi wilayani.

Na vile vile sitegemei kama hata ujio wa wanasiasa kama Tulia Ackson Mwansasu au wengine wowote utakuwa na manufaa yoyote kwa wilaya, kama hakuna miradi ya maana hasa katika miundombinu.

Magufuli utafufuliwa mkakati wa kuinua ari ya wananchi kuipenda CCM na rais Magufuli na serikali yake wapendwe , basi lazima mkakati huo ujumuishe maendeleo ya miundombinu, kwa kukumbuka wilaya hii imbayo inazidi kudidimia mwaka hadi mwaka.

Niwe mstaarabu tu wa kuwapongeza CHADEMA kwa kupata ushindi katika kinyanga'anyiro cha kiti cha Udiwani ,Ibighi, mshindi akiwa ndg Lusubilo Simba.
Nampa pole ndugu yangu wa CCM M/s Suma Fyandomo.
Na hii ni kwa sababu nilikuwa huko Tukuyu wakati wa Xmas na nina wafahamu wote.
Lakini kuna wimbi la discontent ambalo si rahisi kulizuia wilayani Rungwe.

Mulobwike

Wasalaam aleikhum!

Happy New Year 2018
 
Kijijini Ibighi, nasikia makamu wa Mwenyekiti Mzee Phillip Mangul.

Na naambiwaa alifika na kuongea na wazee, kama Mzee mmoja kati ya wazee wa mwisho hapo kitongojini Mzee Kamilo, ili kujaribu kuokoa jahazi la CCM katika uchaguzi hapo Ibighi.

Lakini mambo yalisha haribika kitambo

Wazee wa rika la mzee Kamilo waishpotea siku nyingi sana.
umri wa wastani wa miaka 20 hadi 35, ambao hawajui kabisa CCM imewaltetea nini Wilayani kimaendeleo.

Sasa hata ukichagua chama kingine hapo kijijini kwako ndiyo utajenga hiyo barabara ndugu...bado fedha tunatakiwa kutoa sisi ili upate hiyo barabara.

Hata ukitoa historia nzuri ya viongozi waliotoka hapo enzi hizo haisadii sana kufanya ndiye kigezo cha kuyasema uliyoyasema katika Heading yako hapo juu.

La msingi ni nyie wanainchi kuangalia namna ya kujikwamua kimaisha mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla Serikali inachokifanya ni kuweka mazingira vizuri tu na si kukuletea pesa mfukoni hiyo sahau mtabadili sana uongozi na vyama lakini mkiendeleza mambo yenu ya ushirikina na kurudishana nyuma hamtaendelea kamwe

Hapo Katumba napajua sana kiwira nafika mara kadhaa napajua sana njia za kwenda Ileje kupitia milima mirefu ile balaa tupu huko tofauti na njia ya Mpemba karibu na Tunduma
 
Ngoja tusubiri huyo diwani wa Chadema waliyemchagua ataleta maendeleo ikiwa ni pamoja na kutengeneza miundombinu iliyoharibika!
 
Wewe jamaa una akili sana , lakini kwanini umebaki ccm , ondoka huko mkuu usiogope kulogwa .

Labda kwa kuongezea tu hapo ni kwamba ccm tutaiteketeza yote Rungwe , huyo sauli Pattaya hakushinda ubunge hapo , kilichoshinda ni mitutu ya bunduki .
 
Wote tuungame dhambi zetu na tutubu kama viongozi wetu wa dini wanavyotusihi.... Baba atubu... Watoto watubu.... Nae Mungu aliye juu atasikia kilio chetu
 
Ni.rupenda uchambuzi wako makini.
IBIGHI: KIELELEZO CHA DALILI ZA KUDHOOFIKA NA KUPOTEA KWA CCM WILAYANI RUNGWE

Mimi ni mwana CCM , moja ya ahadi za mwana CCM inasema, nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko

Ibighi Wilayani Rungwe ni sehemu moja iliyowahi miaka ya nyuma kuwa na makada na wakereketwa wengi na wakubwa katika CCM.

Kwa wale wasiopajua Ibighi, ni mkusanyiko wa vijiji vinavyozinguka sehemu inaitwa Katumba, njia panda ya kwenda Mwakaleli, karibu na Kiwanda cha Chai.

Katika kijiji hiki na maeoneo yake ndio wametoka watu mashuhuri kama Marehemu Col Mwakyambiki, aliyekuwa Mbunge wa Rungwe na waziri mdogo wa Ulinzi miaka ya Mwalimu. Maj General Mwakalindile(Ret) aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi JWTZ. Maj General (Ret) Martin Mwankanye wa JWTZ. Ni viongozi tuliowapenda sana kutoka hapo kijijini.

Ibhigi ni kitongoji kilichotoa viongozi wengi tu serikalini, ambao ungetegemea moto wa CCM usizimike.

Lakini kwa uhakika moto wa CCM si tu unafifia , lakini unaelekea kuzimika kabisa.

Hatuwalaumu wazee wetu ,hawa walifanya kazi ya kutukuka serikalini na katika chama.

What went wrong?

Ibighi ni kielelezo tu cha yanayokuja mbele kwa CCM wilayani Rungwe.

Kilometa 10 nyuma ya hapa Katumba kuelekea Mbeya kuna kitongoji kingine cha Kiwira ambacho zamani kilashatekwa na CHADEMA, tena kwa mbwembwe nyingi.

Kiwira ndio kitongoji kilichowahi kutoa Menyekiti wa CCM wilayani Rungwe, marehemu John Mwankja, aliyeuwawa kwa hila zinazohisiwa kwa za kisiasa.

Siasa za miongo ya karibuni imeiweka Jimbo la Rungwe kwa ujumla katika njia panda kisiasa.

Maendeleo yaliyowekezwa kiserikali ni wakati wa Mwalimu Nyerere.

HAKUNA uwekezaji wa maana ulioingia wilayani humu, aidha kipindi cha Mwinyi, Mkapa, Kikwete au hata sasa Magufuli.

Kiwanda cha chai ambacho sasa kinaendeshwa kitapeli kwa kuwakamua sana wakulima wa chai kilijengwa na Mwalimu Nyerere.

Barabara ya lami , mwendelezo wa barabara ya Uyole –Kasumulu kwenda Malawi ilijengwa miaka ya Mwalimu, na kukarabatiwa miaka michache baadaye.

Kwa hiyo anayekumbukwa kutoa si tu vingozi wa kutukuka na maendeleo ya kuonekana kwa macho, ni Mwalimu Nerere.

Hiyo ni miaka 33 iliyopita tangu Mwalimu anga’atuke!

Kijana wa miaka 33 leo wala hajui Mwalimu yukoje!!

Kwa miaka 33 hakuna uwekezaji mkubwa mpya wa barabara au miundo mbinu ya maana wilayani.

Sasa tukirudi Ibighi(Katumba) kna vijana wengi sana hapo walio chini ya umri wa miaka 33 ambao sit u hawajui nini serkali ya CCM imewafanyia wilayani, lakini hawana kazi wala maada wowote kurahisisha maisha na kipato kwa ujumla.

Kahawa na chai mazao yaliyokuwa yaliyokuwa yanalimwa yameondokea kuwa unyonyaji mtupu, maana gharama za kuhudumia zao ni kubwa kuliko kipato.

Na mazo haya yameacha kuwa mkombozi wa mkulima kwa miaka mingi sasa.

Zao la haraka lisilo na uingiliwaji mkubwa na serikali limebakia kuwa ndizi zinazosafirishwa kwenda mikoa mingine kwa ajili ya chakula.

Kwa mazingara haya CCM inaingia kwenye ushindani wa kisiasa katika mahali ambapo haikuwekeza kiuchumi wala liitikadi.

Watu hawali maneno!!

Na wananchi wa hapo si wajnga, wanajua kinachendelea mikoa mingine kama Mwanza Geita, Shinyanga, Arusha na kwingineko kwingi ambako miundombinu inakatiza hadi kwenye kata ndogo na zisizo na wananchi wengi kama wilaya ya Rungwe.

Kijijini Ibighi, nasikia makamu wa Mwenyekiti Mzee Phillip Mangul.

Na naambiwaa alifika na kuongea na wazee, kama Mzee mmoja kati ya wazee wa mwisho hapo kitongojini Mzee Kamilo, ili kujaribu kuokoa jahazi la CCM katika uchaguzi hapo Ibighi.

Lakini mambo yalisha haribika kitambo

Wazee wa rika la mzee Kamilo waishpotea siku nyingi sana.
umri wa wastani wa miaka 20 hadi 35, ambao hawajui kabisa CCM imewaltetea nini Wilayani kimaendeleo.

Mbunge tuliye naye S H Amon, hana mvuto wala mtaji wowote kisiasa kuweza kupigania na kuondoa doa hili la mendeleo hasi wilayani.

Na vile vile sitegemei kama hata ujio wa wanasiasa kama Tulia Ackson Mwansasu au wengine wowote utakuwa na manufaa yoyote kwa wilaya, kama hakuna miradi ya maana hasa katika miundombinu.

Magufuli utafufuliwa mkakati wa kuinua ari ya wananchi kuipenda CCM na rais Magufuli na serikali yake wapendwe , basi lazima mkakati huo ujumuishe maendeleo ya miundombinu, kwa kukumbuka wilaya hii imbayo inazidi kudidimia mwaka hadi mwaka.

Niwe mstaarabu tu wa kuwapongeza CHADEMA kwa kupata ushindi katika kinyanga'anyiro cha kiti cha Udiwani ,Ibighi, mshindi akiwa ndg Lusubilo Simba.
Nampa pole ndugu yangu wa CCM M/s Suma Fyandomo.
Na hii ni kwa sababu nilikuwa huko Tukuyu wakati wa Xmas na nina wafahamu wote.
Lakini kuna wimbi la discontent ambalo si rahisi kulizuia wilayani Rungwe.

Mulobwike

Wasalaam aleikhum!

Happy New Year 2018
 
Sasa hata ukichagua chama kingine hapo kijijini kwako ndiyo utajenga hiyo barabara ndugu...bado fedha tunatakiwa kutoa sisi ili upate hiyo barabara.

Hata ukitoa historia nzuri ya viongozi waliotoka hapo enzi hizo haisadii sana kufanya ndiye kigezo cha kuyasema uliyoyasema katika Heading yako hapo juu.

La msingi ni nyie wanainchi kuangalia namna ya kujikwamua kimaisha mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla Serikali inachokifanya ni kuweka mazingira vizuri tu na si kukuletea pesa mfukoni hiyo sahau mtabadili sana uongozi na vyama lakini mkiendeleza mambo yenu ya ushirikina na kurudishana nyuma hamtaendelea kamwe

Hapo Katumba napajua sana kiwira nafika mara kadhaa napajua sana njia za kwenda Ileje kupitia milima mirefu ile balaa tupu huko tofauti na njia ya Mpemba karibu na Tunduma
Ndugu yangu kama unawajua wananchi wa huko utaelewa kuwa ni wachajarikaji wa kufa mtu.

Ukikutana na omba omba sehemu hizo pengine atakuwa mgonjwa wa akili.
Hakuna mtu anayelilia kujazwa fedha mfukoni, kinacholiliwa hapa ni miundimbinu ijengwe kama sehemu nyingine nchini bila ubaguzi.
 
Back
Top Bottom