Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
nimeshangazwa sana na taarifa za kuahirishwa kwa mkutano wa kukusanya maoni kuhusu muswada wa Katiba mpya pale Karimjee. Kwamba mkutano ule umeahirishwa (ITV news, saa 2 usiku) baada ya mtu asiyekubalika CCM wala upinzani, Tambwe Hiza kuchafua hali ya hewa ukumbini.
Lakini najiuliza: katika wakati ambao taifa linashughulikia suala muhimu kama la Katiba ya nchi, CCM inakosa mtu muhimu kweli wa kumtuma kama muwakilishi hata wamteue mtu kama Tambwe Hiza?
Hivi kweli CCM wako serious? Mtu wa propaganda anaweza vipi kuwa muwakilishi wa chama tawala kwenye ishu sensitive kama Katiba ya nchi? Where is CCM taking us? Ama mimi sielewi maana ya propaganda?
Tuwafanye nini hawa CCM?