CCM Kigoma balaaa...

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Hii inabidi kusoma na sintaandika zaidi. Zitto Kabwe una kazi huko kwenu Kigoma.
CCM Kigoma.jpg
 
Mi cdhani its valid..mtu yoyote aliweza kuandika kwa sababu za kisiasa..kwa upande wa pili, kama kweli ni azimio, nadhani CCM wana demokrasi ya ajabu na kama kuwaondoa madarakani tunahitaji nguvu za ziada...
 
Hapo CCM wamekuwa rediculed mbaya kabisa!!!!

Yaani ni kwamba, if you think having a valid and active CCM card is a big deal, go use it in the market and see if it will get you a free mchele na maharage. OR it will get you electricity!!

Duh!! mambo hadharani kiivo!!
 
Habri ndion hio. Maumivu ya kichwa huanza pole pole!!!! Huo ni mwanzo ndugu wana mjadala. Na mengi yako njiani yanakuja. Kuna taarifa zisizo rasmi (za kimbea) zinasema kuna mmoja wa wagombea wa CCM jimbo la Kibondo (KIGOMA HUKO HUKO) amekoswakoswa kuuliwa na majambazi feki waliotumwa na mpinzani wake. Mwenye taarifa rasmi (sahihi) tunaomba msaada wa taarifa hizi!!
 
Hivi wananchi Kigoma wakitwangana, jee vyombo vya dola vitasema ni CCM au Upinzani ndiyo chanzo?
 
Ukisoma hili ndiyo unagundua kuwa huko, hata ukiwaabia kuwa Sokwe Mtu wa Gombe anagombea kwa ticket ya CCM, basi kuna watu bado watampigia kura. Si wameahidiwa Sukari, mchele, Udaga na ....... kwa nusu bei?
 
Zito upo wapo? haya yanatisha, ngoja kesho na mimi nikatafute kadi ya ccm nipate mchele bure

Kigoma ina majimbo mengi likiwemo la Zitto Kabwe. inategemea aliyeandika huwo upupu alikuwa jimbo gani na alikuwa na agenda gani. sioni tishiyo lolote kwa Kabwe
 
Uzuri wananchi wa Kigoma wanazo nyingi mukichwa hawadanganyiki kirahisi walimbebea Jeneza Kaborou mpaka leo hii huwa na soni kila akirudi nyumbani kwa kuwatosa na kukimbilia CCM
 
Uzuri wananchi wa Kigoma wanazo nyingi mukichwa hawadanganyiki kirahisi walimbebea Jeneza Kaborou mpaka leo hii huwa na soni kila akirudi nyumbani kwa kuwatosa na kukimbilia CCM

Sijajua kama kaburu akirejea CHADEMA watampokea?
 
Hapo CCM wamekuwa rediculed mbaya kabisa!!!!

Yaani ni kwamba, if you think having a valid and active CCM card is a big deal, go use it in the market and see if it will get you a free mchele na maharage. OR it will get you electricity!!

Duh!! mambo hadharani kiivo!!

Inanikumbusha this quotation
Sir Winston Churchill, quotes about Election:
The best argument against democracy is a five-minute conversation with the average voter.

ina reflect kilichoandikwa CCM wanakazi kwelikweli kama mambo ndo haya
 
Back
Top Bottom