CCM isipowaondoa "Mafisadi" itashindwa kutimiza ahadi - Tutaiacha

haahaa. inawezekana hata babu yako ni kada wa ccm

kaka kabisa enzi za mababu ccm ilikua juu sasa wameingia watotot wa mjini so kimjinimjini nakushauri tuu nape awezi kitu wee subiri utakuja kusema mwenyewe kama ulivyojipa matumaini ya kujivua gamba ukaja juu juu na kujipa jina gamba jipya so?

Nape mbona kaache mziki wape wa siku 90 za mafisadi? kumbuka hapa baada ya baba yenu kufokewa na tajiri kuba nae kafyata na kumwonya nape atafute mziki mwingine na sasa anakuja eti slaa ni fisadi kweli?

Embu atupe kwanza ni kwanini walijivua gamba?
Je watu gani waliosababisha? na wameshachukuliwa hatua? ukipata jibu njoo hapa jf utuhabarishe

Ila mwenyekiti wako ndio kabanwa tena yeye alikua anasign tuu akujua mazara yake sasa ngoma ngumu
 
hahha. kikwazo vigazeti vyenu vitzdaima

Bado mazee malaeria aijaisha hiyo anyway tusubiri, fikiri na uchukue hatua zama hizi sio za porojo hata mtoto anaelewa na sasa mkulo kishauza CD ya serikali haijakopa, uku mafuta bei juu kila baada ya siku kazaa bei inapanda kulikoni? haya ndio maswali wanatakiwa wawajibu wananchi, sio majibu ya kunya kua kila mtu atakula kwa jasho lake kweli? hivyo hivyo ni kama majibu yako sasa vigazeti vinahusika vipi na maamuzi mlioamua kwenye mkutano wenu? Embu tekelezeni tuone hata hilo mmeweza basi
 
I)Nilimsikia rais wangu na mwenyekiti wangu wa ccm Kwamba ccm imekumbwa na ufisadi. na wote waliotuhumiwa na waachie kazi. Wengi tuliamini CCM itatimiza ahadi ya mwenyekiti wangu kwamba wanaokichafu ccm wataondoka.Sote tulifurahi.
lkn kila kukicha wapinzani wanashika kasi huku ccm ikizidi kuonekana inaogopa wahusika.
Mbona maalim seif alifukuzwa ccm na hadi leo ipo?Mbona masauni alilazimishwa kuacha madaraka na UVCCM ipo??mbona Jumbe aliutema urais bado ccm imara? Mbona kundi kubwa la Cuf lilikimbia hadi leo ccm ipo?
Hawa wanaotuhumiwa kwanini nao wasiondoke? kwanini yanapokuja maamuzi ya upande wa Tz bara ccm inakuwa wagumu kuyatimiza?
wazanzibar wanamsemo wao"Tutaunda ASP yetu mbaki na CCM yenu" watanzania bara wao"Tunataka mafisadi wahame".

l

Soma HApa then mwambie atupe na haya majibu mwenyekiti wako pia mwambie mbona anatekeleza ahadi za cdm? na za kwake kaweka kapuni? katika ilani yenu ya uchaguzi na miahadi tele tele aliohaidi ni ipi ameshatekeleza?

Ukipata jibu ndio utajua kuwa nape cha mtoto awezi kutishia mkubwa nyau

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/134594-mh-kikwete-kuwa-mkweli-usidhani-tumesahau.html
 
maisha dunia nzima magumu. ukienda Uk utajuta kwanini umeenda. ukitaka maisha mazuri ngoja ufe

Ila hapa kwetu tunasababishwa na magamba yenu sisi sio maskini kihivyo still mali tunazo nyingi je zinapelekwa wapi na hao wachache? na kubakiza umaskini kiasi hiki
 
Malaria unatikisa kiberiti?
Inakuwa vipi upo CCM hadi leo hujamuelewa vyema mwenyekiti wako? yeye hakuwa na maana ya kwenda kinyume na maadili ya CCM kama wengi mnavyotaka, yaani mweyekiti tena akiuke ilani ya chama! nadhani hamkumwelewa au methali ya kujivua gamba ilikuwa ngumu sana kwa CC na NEC-CCM hivyo hawakujua maana halisi ya methali hiyo.

huwezi kufukuza watu kutoka kwenye chama bila sababu, hao mlio wataja ndio majembe ya CCM na kama CCM ndio jembe lenyewe basi hao ndio mpini, sasa ukitoa mpini jembe halifanyi kazi tena labda kama unataka kuliweka kabatini!

Hao ndio waliokubali kutekeleza bila woga wowote ile ilani ya CCM ya Chukua Chako Mapema, pia ndio waliokuwa majasiri kukubali potea mbali kama nikuiba kwa ajili ya CCM tupo tayari, sasa iweje mtu aliyejitolea kwa ajili ya chama kiasi hicho badala ya kumuenzi wewe unaleta mawazo ya kumfukuza!

Mkiwafukuza nani atawasaidia na ujasiri kama huo uchaguzi ujao kukubali kulaumiwa kwa ajili ya chama hiyo siyo kazi ndogo kaka, yaani chama kiibe alafu nilaumiwe mimi, nikae kimia na kuvumilia alafu tena baadaye chama kilichoshamili kwa wizi wangu eti kinifukuze haiwezekani hata siku moja, M/kiti hakuwa na maana hiyo hata kidogo.

Mwenyekiti alikuwa na maana kuwa tujipange kuwatoe CCM wale wote waliotangaza wizi wetu adharani na kuwashughulikia wote kama alivyotolewa Sitta kwenye Uspika haraka sana, huko ndikokujivua gamba kwa CCM siyo hivyo unavyofikia.

Pia Malaria kumbuka kuwa CCM haina tabia ya kukopi Sera za vyama vya Upinzani, hiyo sera ya kushugulikia Mafisadi siyo ya CCM ni ya CDM, yetu CCM ni ya kufanya ufisadi!
 
Umesema yote The analyst, I wish kila mwana ccm aisome comment yako hii na achane na ccm kabisa, ni wakati wa kila mtanzania aliye mzalendo kushiriki juhudi za kulikomboa taifa letu kwa kiiunga mkono CDM. Hii ccm imejizeekea haina mwelekeo wowote, kuendelea kuishabikia ni kuonyesha ujinga uliopitiliza.
 
I)Nilimsikia rais wangu na mwenyekiti wangu wa ccm Kwamba ccm imekumbwa na ufisadi. na wote waliotuhumiwa na waachie kazi. Wengi tuliamini CCM itatimiza ahadi ya mwenyekiti wangu kwamba wanaokichafu ccm wataondoka.Sote tulifurahi.
lkn kila kukicha wapinzani wanashika kasi huku ccm ikizidi kuonekana inaogopa wahusika.
Mbona maalim seif alifukuzwa ccm na hadi leo ipo?Mbona masauni alilazimishwa kuacha madaraka na UVCCM ipo??mbona Jumbe aliutema urais bado ccm imara? Mbona kundi kubwa la Cuf lilikimbia hadi leo ccm ipo?
Hawa wanaotuhumiwa kwanini nao wasiondoke? kwanini yanapokuja maamuzi ya upande wa Tz bara ccm inakuwa wagumu kuyatimiza?
wazanzibar wanamsemo wao"Tutaunda ASP yetu mbaki na CCM yenu" watanzania bara wao"Tunataka mafisadi wahame".

l

Aithee,, sometyme unaviakili,,unbiased.....ongeza kidogo,uwe binadamu mwenye akili...Magamba yanawaua baba,bibi,hangazi,mjomba wanakufa na njaa,na umaskini ulokithiri....
 
I)Nilimsikia rais wangu na mwenyekiti wangu wa ccm Kwamba ccm imekumbwa na ufisadi. na wote waliotuhumiwa na waachie kazi. Wengi tuliamini CCM itatimiza ahadi ya mwenyekiti wangu kwamba wanaokichafu ccm wataondoka.Sote tulifurahi.
lkn kila kukicha wapinzani wanashika kasi huku ccm ikizidi kuonekana inaogopa wahusika.
Mbona maalim seif alifukuzwa ccm na hadi leo ipo?Mbona masauni alilazimishwa kuacha madaraka na UVCCM ipo??mbona Jumbe aliutema urais bado ccm imara? Mbona kundi kubwa la Cuf lilikimbia hadi leo ccm ipo?
Hawa wanaotuhumiwa kwanini nao wasiondoke? kwanini yanapokuja maamuzi ya upande wa Tz bara ccm inakuwa wagumu kuyatimiza?
wazanzibar wanamsemo wao"Tutaunda ASP yetu mbaki na CCM yenu" watanzania bara wao"Tunataka mafisadi wahame".

l

Magamba ya Akili yameanza kupungua.
Ukitambua ukweli wote hata heshima ulizo nazo kwa Wanamagamba zitakoma.
Endelea kufunguka akili.
 
I)Nilimsikia rais wangu na mwenyekiti wangu wa ccm Kwamba ccm imekumbwa na ufisadi. na wote waliotuhumiwa na waachie kazi. Wengi tuliamini CCM itatimiza ahadi ya mwenyekiti wangu kwamba wanaokichafu ccm wataondoka.Sote tulifurahi.
lkn kila kukicha wapinzani wanashika kasi huku ccm ikizidi kuonekana inaogopa wahusika.
Mbona maalim seif alifukuzwa ccm na hadi leo ipo?Mbona masauni alilazimishwa kuacha madaraka na UVCCM ipo??mbona Jumbe aliutema urais bado ccm imara? Mbona kundi kubwa la Cuf lilikimbia hadi leo ccm ipo?
Hawa wanaotuhumiwa kwanini nao wasiondoke? kwanini yanapokuja maamuzi ya upande wa Tz bara ccm inakuwa wagumu kuyatimiza?
wazanzibar wanamsemo wao"Tutaunda ASP yetu mbaki na CCM yenu" watanzania bara wao"Tunataka mafisadi wahame".

l
Malaria sugu kwanza nakupongeza kwa kuanza kupata nafuu ya hiyo malaria yako, lakini hilo ulitakalo haliwezekani kwa sasa kwani nyinyi uliamua kuwa pesa ndio msingi wa kuongoza chama na ndio maana mliwaacha wananchi kwa kuwa hawakuwa na pesa za kusaidia chama sasa leo mnataka kubadilika ghafla itawezekana?
 
Nilianza kusikia kwamba 'kujivua gamba' kwa ccm, ni kuwaengua viongozi watatu wa ngazi za juu za chama hicho (majina yalitajwa), na walipewa muda wa siku 90 kufanya hivyo. Baadae nikawa nasoma humu jamvini kuwa, tafsiri hiyo ya awali ilibadilishwa, na sivyo hivyo. Baada ya hapo sikuwa na uhakika 'kujivua gamba' ni nini hasa tena, mpaka jioni hii nilimpomwona kijana Nnape akihutubia wana ccm, na kutoa tafsiri ya 'kujivua gamba'.

Kutokana na Nnape, ccm ni chama kilichotawala takriban miaka 50, kwa hivyo kwa muda wote huo kimekuwa kizee, hivyo kinahitaji 'kujivua gamba'.

Alisema, "Kujivua gamba ni kuongeza uwezo wa ccm kuwa karibu na wanachama wake". Baada ya kusema hivyo alipigiwa vigelegele na kina mama.

Nilijiuliza hivi ni kwa nini hao kina mama wanapiga vigelegele? Je wanafahamu kuwa hiyo ni version nyingine ya kujivua gamba tofauti na ile iliyotolewa na Nnape mwenyewe na katibu wa ccm?

Itakuwa ni vizuri kama chama tawala kitakuwa karibu na wananchi. Hata hivyo ni vizuri zaidi kuthibiti watu na vitendo ambavyo vinaweka chama tawala mbali na wananchi. Hapa ina maana kwamba, ili 'kujivua gamba' iwe ya kweli, na sio tu hotuba za majukwaani, version zote mbili hazina budi kutekelezwa.

Unajua,ukiwa unaoga mtoni halafu kichaa akachukua nguo zako na wewe ukamfukuza huku ukiwa uchi haitaeleweka yupi ni kichaa.Frankly speaking sisi na CCM wote tunaonekana vichaa.We must device workable plans to remove CCM from power.Maneno matupu huku wananchi wetu wanazidi kuumia hayatatusaidia sana.We look stupid.
 
Sisi wote tulijua tulikuwa tunaingizwa mkenge Nape akiongea na BBC wakati fulani alisema barua zimeandikwa ziko mezani kwa msekwa zinainiwa aliulizwa kufuatia taarifa ya gazeti moja la kila siku lilliloripoti kwamba viongozi wa sekretariati walikuwa hawana jibu kuhusu nani anaandika barua na kuwapatia mafisadi,Mukama na Nape walipopishana kiswahili walipoongea na wahariri tulijua mchoro umeshafutwa,Jakaya ni mwizi namba moja Fisadi mkubwa atamuondoa nani na yeye akiwammoja wao,jibu nikuuunq'oa tuu huu utawala period
 
Back
Top Bottom