CCM is the AXIS of EVIL

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
Wako tayari kuua ili kulinda maslahi yao, wamesababisha vifo vya watu wasio na hatia kama huyu ndugu kwa kulazimisha kanuni zikiukwe, still hata baada ya mauaji kutokea hawaonyeshi kushtushwa badala yake Makamba anadai jengo lao limevunjwa vioo inasikitisha sana, hawa ndio viongozi wa kitaifa tulionao ndio maana nimefikia uamuzi wa kuwaita Exis of Evil yes they are Exis of Evil.

hayakubaliki.jpg
 
katika watu wajinga wanautumia ****** kufikiria na siyo kichwa ni Makamba, hana hata utu, anaabudu sana CCM, kausahau ubinadamu wake na amekuwa mtumwa wa fikira na kila kitu, haaamini kama kuna maisha zaidi ya CCM
 
Makamba anaiua CCM kibri chake kitaimaliza kwa tukio hili endapo uchaguzi utatokea Arusha wasitarajie kupata kura walizopata mwaka jana.
 
axis of evil.... i love this statement ....... same have been referred too..... such as Iran and Al Qaeda

mimi ninashauri hii uranium iliyopo namtumbo songea isiruhusiwe kuchimbwa ndani ya utawala wa CCM ... kwani tutaangamia.....
 
Ole wako JK, ole wako Makamba, ole wako IGP, damu hii haikupotea bure, mtateseka saaaana pamoja na mahela yenu ya kifisadi hamtapata amani hata siku moja mpaka mnaingia kaburini, MASHETANI WAKUBWA NYIE.
 
Back
Top Bottom