CCM inaongozwa na watu maskini, wanyonge?

Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.

Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
CCM haina ubaguzi, wa sijui maskini au tajiri, mkristo au muislamu, mwanamume au mwanamke, mweusi au mweupe. Binadamu na Wanachama wote wa CCM ni sawa...

Hilo la ubaguzi linabaki suala binafsi lako au kwa anaejibambanua hivyo...
 
Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.

Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Inaongozwa na waliokuwa Wanyonge baadaye wakageuka Matajiri baada ya kuwanyonga Wanyonge wenzao ambao sasa siyo wenzao tena!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.

Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Wapenda sifa na kuandikwa mitandaoni na kupogwa picha hawana lengo zuri na hili Taifa.
Ndio mana wengine walisema nendeni Burundi.
 
Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.

Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
Hayo ni maneno yako usiwalishe chama makini km CCM.
 
🇹🇿 TANZANIA ni miongoni mwa nchi masikini asilimia zaidi ya 90 ya wananchi ni masikini kwa vigezo vya kimataifa… na CCM unategemea iongozwe na watu wa aina gani?
 
Mara nyingi huwa nawasikia viongozi wa CCM wakijinasibu kuwa chama chao ni chama cha maskini na wanyonge.

Kama CCM ni chama cha maskini na wanyonge, jee viongozi wake nao ni maskini na wanyonge kama wanachama wengi wa CCM walivyo??
WAKATI WANAOMBA UONGOZI KWELI WALIKUWA MASIKINI NA WANYONGE LAKINI BAADA YA KUPATA UONGOZI NI MATAJIRI WA KUTUPWA KWANI WANAKOPESHANA MIHELA YA SERIKALI NA KUIBA
km Mbunge analipwa Mshahara wa Mil.16 Kwa Mwezi +Posho +Mikopo kibao ambayo hata Wasipolipwa hawadaiwi
Magari ya Milioni 100 mpaka 600 Nayo baada ya Miaka 3 wanakopeshana
Lazima wawe MATAJIRI
Juzi tumemshuhudia MAKONDA akimnunulia Gari mwl wakati ndio kwanza kawa Mwenezi wa Chama

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
CCM inajinasibisha kuwa iko na Mkulima na Mfanyakazi ambao Wamemasikinishwa na CCM hiyo hiyo.😆😄
 
CCM haina ubaguzi
FyIBjQkWcAExHFJ.jpg

Mkiwa waongo angalao muwe na kumbukumbu.
 
Baada ya Azimio la Zanzibar yakaingia majambazi kukiteka chama.

Ila originally ni chama cha wakulima na wafanyakazi.

Jembe na nyundo.

Ila sasa hao wahuni wameondoa jembe na nyundo imebakia noti tu.
 
Back
Top Bottom