CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

Comandoo, Umevuka mipaka sana, kufuru ya kumfananisha Yesu na mwanadamu tena mwanasiasa umekufuru. Ukiwa na hekima rekebisha usemi wako na uombe radhi kwenyee jukwaa hapa. Laana zanazotolewa humu zitakupata hakika, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo sio Jina la mchezo
 
Karama na huduma yake iko ktk injili, kufundisha neno la Mungu na kuiongoza watu ktk kumjua Mungu. Huu ndo wito wake, mbali na hapo atakuwa nje ya huduma ile aliyopewa na Mungu, hivyo karama na nguvu ya Mungu iliyoko ndani yake haitajidhihirisha au kuonekana endapo atakuwa ktk majukwaa ya kisiasa!!!!
 
fanyeni mfanyavyo,lakini arusha mi nachagua chama si mtu na chama chenyewe ni chadema hata kama watasimamisha mbuzi.na kama haitoshi nipo tayari kufa kwaajili ya kirinda kura yangu
 
unahitaji si tuu kuwa na kisukari cha kupanda lakini pia ukilaza wa kuzaliwa kujaribu tuu kufikiri kuwa mtu crdible kama mwakasege anaweza kujiingiza mwenyewe kwenye jahazi linalozama
 
1.Kwanza hawezi kubali . 2 na the most important , Arusha NI CHADEMA na Sio mtu sisi Tunaangalia CHADEMA na hatuangalie mtu , ni proplrs power .
 
Huyo mtu anayetajwa na CCM yupo makini sana!mara zote ameweka msimamo wake hadharani kuwa hana chama katika maisha yake ila ukweli anausema.Ratiba yake siku zote imejaa!tusiwachafue watu pasipo kuwa na sababu za msingi!

hizo zote ni kutokujiamini tu kwa wana CCM!tusubiri muda ufike lakini kwa anayejua siasa za Arusha ni wazi kabisa pasipo na sheka kama CCM wamedhamiria kuchukua jimbo hilo labda wamtafute mtu anayeaminiwa sana hapa Duniani kama Mandela ndiye akawe Meneja wa Kampeni!

Amani ya nchi ya Tanzania kamwe haiwezi kupatikana kwa kuwanyima ushindi watu zaidi ya 56,000 kwa kura chache za elfu 30,000. Tusubiri hukumu ya Jimbo la Segerea tuone kama ushahidi wa maneno na ushahidi wa kukamatwa na masanduku ya kura upi una ukweli!hapo ndio utapata jibu la kumjibu B. W. Mkapa kuhusu ukombozi wa Taifa hili ambaye kwake ukombozi ulishapatikana!

Huo ni mtazamo tu. Heri ya pasaka
 
Akitaka akaende kumuuliza Bill Graham waliotaka agombee urais lakini akakataa kutokan na wito wake kwa Mungu
 
For christ sake no.! Hell no.! Plz mwakasege do not get in that cheap trap, i knw u have lot of wisdom
 
let the holy spit lead Mwakasege to make decion and not to rely on rumours, since he is the most chosen one
 
Heshima ya mwakasege ni zaidi ya ubunge. Ubunge kwake ni promotion au demotion?
 
Mizaha mingine haihitajiki. Hivi kuna haja ya kuleta uzi wa aina hii?
 
Mwaakasege ni mwalimu wa walimu wa mafunzo ya bibili na ana heshima kubwa kwa ajili hiyo sidhani kama atakuwa tayari kujishushia hadhi yake na kujiingiza kwenye siasa za zuluma na utapeli wa nchi hii

Isitoshe kupitia ccm waliojaa maovu yote anayoyahubiri
 
mzee huyu, anachama nimeshawai kumsikia katika mahubili yake... sizani kama atakubari tusubiri kwanza CHADEMA waseme jambo kama wanakata rufaa au uchaguz.
 
Back
Top Bottom