CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

Bolivar

JF-Expert Member
Oct 23, 2010
229
103
Nimepata habari za ndani kuwa CCM inamshawishi Mwalimu Christopher Mwakasege achukue fomu kogombea ubunge Arusha mjini kupitia CCM.

Kama habari hizi ni kweli heshima aliyojijengea mtumishi huyu kwa miaka kadhaa itayeyuka kama barafu kwenye jua.
 
Asee..mwakasege ashindwe kabisa tena alegee..ataboa wengi akiingia ktk siasa.bytheway,i dont beleive that!kwanza hatokubali
 
Nimepata habari za ndani kuwa CCM inamshawishi Mwalimu Christopher Mwakasege achukue fomu kogombea ubunge Arusha mjini kupitia CCM.

Kama habari hizi ni kweli heshima aliyojijengea mtumishi huyu kwa miaka kadhaa itayeyuka kama barafu kwenye jua.

Mtego uliomnasa mama Rwakatare hauwezi kumnasa Mwl. Mwakasege. Ni uzushi tu, mbona saizi mamvi anajiandaa kuwachagulia mgombea au hujui?
 
Nimjuavyo Mwakasege, hawezi katu kuacha utumishi wa Mungu ili aende kwenye siasa.
 
Nimepata habari za ndani kuwa CCM inamshawishi Mwalimu Christopher Mwakasege achukue fomu kogombea ubunge Arusha mjini kupitia CCM.

Kama habari hizi ni kweli heshima aliyojijengea mtumishi huyu kwa miaka kadhaa itayeyuka kama barafu kwenye jua.

Ramli dot.com nini Mwakasege soon utaki Mtamsimami Mzee Ambilikile Mwasapile
 
Arusha hakuna habari ya CCM bali habari ya PEOPLEZ POWER. Yatakuwa zaidi ya yaliyotokea Arumeru.
 
CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMjA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee
uko sahihi komandoo,ila for belief'sake sikubaliani nawe puting Jesus into this
 
Nimependa sana majibu ya wote mliochangia,namiminasema maana nimeshindwa kujizuia,ni kweli Heshima ya Mtumishi wa Mungu itashuka sana.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom