CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

Kazi anayoifanya Mwakasege ni kubwa kuliko ka-ubunge ka Arusha mjini. Mtumishi wa Mungu huyu anazunguka nchi nzima leo mje kumfunga hapa Arusha kwa sababu ya ka- Ubunge hawezi kukubali wito wa kifisadi na kuacha wito mtakatifu. Mwakasege ni very smart wakimwaambia atawadharau sana na inawezekana asiwajibu. kwanza yeye siyo CCM!!!!

mbona jamaa yupo usalama wa taifa?
 
Mi naamini hata mkuu wa kaya mwenyewe akigombania ubunge wa arusha ataangukia pua tu. Arusha ni ya chadema wakuu.
 
"CCM HATA WAKIMSHUSHU YESU KRISTO AJE AGOMBEE KWA TIKETI YAO, YESU ATASHINDWA VIBAYA SANA, MAKE CCM KUNA WATU WAZURI SANA NA WAZALENDO TATIZO NI CHAMjA NA SI WATU, CCM IMEEZEEKA WATU HAWATAKI HATA KUONA BENDERA ZA CCM SO MSIDHANI ISHU NI KUTAFUTA MTU MWEMA,
huyo mchungaji cha mtoto muombeni YESU kabisa aje agombee"

Leo nimeamini wanachadema wana matatizo kweli nabii ashindwe kwa CDM kweli mwisho wa dunia umefika?
 
Funguka mtumishi wa mungu ugombee jimbo ila kaa ukijua utajuta siku zote za uhai zilizobaki. Ninanyowajua magamba wakimaliza kukutumia wanakutupa. Kumbuka utakapokuwa umeshindwa na upako wa kukemea mapepo utayeyuka therefore no " fungu la kumi or malimbuko" na ubunge umekosa, sijui utaishije!
 
Atawajibu kuwa Mungu hakumtuma kufanya kazi za Mataifa. Yeye tayari ameshapewa kazi ya kufanya na Bwana Mungu.
 
Laana na ikae juu yako na uzao wako wote hadi kizazi chako cha kumi. Maisha yako kuanzia sasa na yawe mafupi sana kama moto wa mshumaa. Mungu wetu kamwe hawezi kufananishwa na mtu yeyote Duniani. Popote upitapo majanga yaambatane nawe. Jina lako lifutwe hapa Duniani. AMINA


Amen (Na iwe hivyo katika Jina la Yesu Kristo aliye hai)
 
Laana na ikae juu yako na uzao wako wote hadi kizazi chako cha kumi. Maisha yako kuanzia sasa na yawe mafupi sana kama moto wa mshumaa. Mungu wetu kamwe hawezi kufananishwa na mtu yeyote Duniani. Popote upitapo majanga yaambatane nawe. Jina lako lifutwe hapa Duniani. AMINA


mbona jamaa yupo usalama wa taifa?


Mwalimu Mwakasege, amepewa na Mungu hii nchi kuiombea amani. Usalama wa taifa ni jukumu la kila mtanzania ukiwemo wewe.
 
Mwl Mwakasege namfahamu sana, Nimehudumu katika semina zake. Mara kwa mara ametoa kauli ya kuwa yeye ajihusishi na siasa za vyama. Yuko kwa ajili ya injili ya ukombozi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Hawezi kujihusisha na siasa. Kwa hiyo si vizuri kumhusisha na siasa.
 
una maanisha huyo mzee hafanyi makosa yeyote kama binadamu? Sentensi yako hemu ifutilie mbali maana hakuna mtu anayeongozwa na mungu ni hekima zake na kujua uwepo wa mungu na kujizuia na madhambi kadri atakavyo weza, ila m/mungu ametupa akili kuyajua mema na mabaya na ametupa free will ya kuamua kufanya au kutofanya. So ukiona mtu anafanya mema wewe hufanyi usijitetee kusema eti yeye anaongozwa na m/mungu na mimi siongozwi thats why nafanya maovu. Message 2 all of us.

Naona kiimani tunapishana mkuu. Binafsi naongozwa na Mungu, Yesu ni kiongozi wa maisha yangu.
 
mh! watu mnajua kuzusha sana, nimeongea na mwl Mwakasege personal, kaniambia hajawahi na wala hatawahi kufikiria kuingia kwenye siasa kwani sio wito wake, na kwa sasa hana chama chochote wala kushabikia siasa. naamini mtumishi huyu wa Mungu anajua wito na kazi yake hivyo hawezi kuyumbishwa na majaribu hayo anayozushiwa.
labda ni watu wana zusha zusha maneno lakini yeye hahusiki na wala hatajihusisha na siasa zaidi ya kuendelea na wito wake.
 
namfahamu vizuri mwalimu mwakasege, ni mtumishi anayejua maana ya wito alioitiwa na Mungu. Mungu hajamuita kwa ajili ya siasa bali kufundisha neno lake(mwalimu wa neno) sio mtu wa tamaa kihivyo, naamini hiyo ni ndoto na kamwe mwalimu hawezi kukubaliana nayo hata wakimlamba miguu.
 
Back
Top Bottom