CCM inakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa imeshinda tayari katika mioyo ya Watanzania

Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza ukasema bila hofu Wala wasiwasi kuwa CCM inakwenda kuingia katika uchaguzi Mkuu ujao ikiwa tayari Imeshinda katika mioyo ya watanzania.

Hii Ni kutokana na kazi kubwa ya utekelezaji wa ilani iliyofanywa na serikali yake chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais wetu mama Samia.

Inakwenda ikiwa imekidhi matarajio ya watanzania, inakwenda ikiwa imebeba matumaini ya watanzania, inakwenda ikiwa imejibu maswali, kero, changamoto na kuzitolea majibu ya kuridhisha na kuleta matumaini, inakwenda ikiwa imeleta nuru, Tabasamu na matumaini katika mioyo ya watanzania, inakwenda ikiwa imefanikiwa katika secta zote, inakwenda ikiwa imejenga uchumi Unaogusa maisha ya watu na kukua katika mifuko ya Watanzania, inakwenda ikiwa imeleta maendeleo katika kila secta, inakwenda ikiwa inakubarika na makundi yote na Rika zote.

CCM Inakwenda kupambana na kukutana na vyama dhaifu, vilivyokosa dira na muelekeo, vilivyokosa matumaini, vilivyokosa mipango na mikakati, vilivyokosa Sera na ajenda za kugusa maisha ya watu,vilivyofirisika kihoja, vilivyokosa ushawishi kwa watanzania, vilivyokosa Safu ya uongozi wenye kushawishi watu.

CCM Inakwenda kukutana na vyama vilivyokosa mtandao wa kiuongozi,vilivyopoteza Imani kwa wananchi,vilivyopuuzwa na watanzania, visivyoaminika katika masikio ya watanzania, visivyosikilizwa Wala kuungwa mkono na watanzania, visivyo na Sera Wala ajenda mbadala ,visivyoweza kutatua hata migogoro Yao ndani yake, vilivyojikatia Tamaa na kusubiri huruma ya CCM, visivyo na maono Wala falsafa, visivyoweza hata kuandaa ilani yake.

Ni vyama vya matukio, usaka Tonge wa ubunge na udiwani kwa ajili ya kukusanya Ruzuku ,Ni vyama vinavyojiendesha kama mradi wa mtu na Mali ya mtu binafsi, ndiyo maana huko wenyeviti wake ni wakudumu, hawana mbadala Wala mrithi , huko ni makambale watupu, kila mtu na masilahi yake, kila mtu anajiangalia yeye na ajenda zake na maslahi yake, hawana habari za shida za wananchi.

Sasa Hawa wapinzani ndio Wana kwenda kupambana uso kwa uso na CCM iliyo imara na madhubuti, CCM iliyo na mtandao Mpana wa kiuongozi,CCM iliyokamilika kila idara,CCM iliyo na wanachama waaminifu mpaka ngazi ya kitongoji huko vijijini,CCM yenye wapiga kura waaminifu na inayoaminika na watanzania.

Ni wapinzani wachache Sana wasioweza kujaa hata kwenye kiganja watakao kwenda na kuingia Bungeni ,Ni wachache sana Tena Sana na itategemeana CCM imesimamisha akina nani katika majimbo husika ,lakini Kama CCM itaamua kubadilisha kitasa kwa hakika upinzani utapata Taabu Sana, ikumbukwe pia kwa Sasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kukesha na baridi au kuhatarisha usalama wake kwa ajili ya kumpigania mpinzani wakati anafahamu kuwa ni watu wenye Damu ya usaliti na ukigeugeu.

Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Imeshinda ufisadi Kila Kona siyo?
 
Ongea na bichwa lako sio kutuingiza wengine kweny mawazo yako.
 
Wewe unatakiwa ufike hapa
JamiiForums897782019.jpg
 
Back
Top Bottom