CCM inakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 ikiwa imeshinda tayari katika mioyo ya Watanzania

Haya.

Basi tusiandikie mate wakati wino upo, tupeni hiyo Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi, yatosha.

Sera na mambo mengine sisi tutajua wenyewe huko mbele ya safari.

Uwe na subira vyote vipo katika mchakato ,lakini pia bado CCM itashinda kwa kishindo kikuu kutokana na kuaminiwa na kukubalika na watanzania
 
Subira toka 1991/92?
Au hujui Subira na uvumilivu wetu viko kwenye rekodi ya viwango vya FIFA?

Ni lini hasa, siku na tarehe na mwezi; huo "mchakato" wenu utatuletea Katiba yetu mpya? It long overdue.

Acha kuimba kama kasuku hizo ngonjera zako.
 
HII NCHI MASIKINI MNO MASIKINI SANA.

ADUI UJINGA NDIO CHANZO KIKUBWA CHA UMASIKINI WETU.

NA HAKUNA UMASIKINI MBAYA ZAIDI KAMA KUKOSA FIKRA.
JK NYERERE.

KAKA UNAMAWAZO YA KIMASIKINI SANA. MUNGU AKUTETEE.
 
TOKA MAKTABA:

2020 10 Juni

MAALIM SEIF ALALAMIKA MGAWANYO WA MAJIMBO ZEC KUDHOOFISHA UPINZANI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif amelalamikia aliodai kuwa ni mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kukata majimbo katika Visiwa vya Unguja na Pemba aliodai una lengo la kuudhoofisha upinzani katika visiwa hivyo.
 
HII NCHI MASIKINI MNO MASIKINI SANA.

ADUI UJINGA NDIO CHANZO KIKUBWA CHA UMASIKINI WETU.

NA HAKUNA UMASIKINI MBAYA ZAIDI KAMA KUKOSA FIKRA.
JK NYERERE.

KAKA UNAMAWAZO YA KIMASIKINI SANA. MUNGU AKUTETEE.
Huyo adui alitengenezwa na 'watawala'. Leo ni silaha hatari both ways.
 
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza ukasema bila hofu Wala wasiwasi kuwa CCM inakwenda kuingia katika uchaguzi Mkuu ujao ikiwa tayari Imeshinda katika mioyo ya watanzania.

Hii Ni kutokana na kazi kubwa ya utekelezaji wa ilani iliyofanywa na serikali yake chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais wetu mama Samia.

Inakwenda ikiwa imekidhi matarajio ya watanzania, inakwenda ikiwa imebeba matumaini ya watanzania, inakwenda ikiwa imejibu maswali, kero, changamoto na kuzitolea majibu ya kuridhisha na kuleta matumaini, inakwenda ikiwa imeleta nuru, Tabasamu na matumaini katika mioyo ya watanzania, inakwenda ikiwa imefanikiwa katika secta zote, inakwenda ikiwa imejenga uchumi Unaogusa maisha ya watu na kukua katika mifuko ya Watanzania, inakwenda ikiwa imeleta maendeleo katika kila secta, inakwenda ikiwa inakubarika na makundi yote na Rika zote.

CCM Inakwenda kupambana na kukutana na vyama dhaifu, vilivyokosa dira na muelekeo, vilivyokosa matumaini, vilivyokosa mipango na mikakati, vilivyokosa Sera na ajenda za kugusa maisha ya watu,vilivyofirisika kihoja, vilivyokosa ushawishi kwa watanzania, vilivyokosa Safu ya uongozi wenye kushawishi watu.

CCM Inakwenda kukutana na vyama vilivyokosa mtandao wa kiuongozi,vilivyopoteza Imani kwa wananchi,vilivyopuuzwa na watanzania, visivyoaminika katika masikio ya watanzania, visivyosikilizwa Wala kuungwa mkono na watanzania, visivyo na Sera Wala ajenda mbadala ,visivyoweza kutatua hata migogoro Yao ndani yake, vilivyojikatia Tamaa na kusubiri huruma ya CCM, visivyo na maono Wala falsafa, visivyoweza hata kuandaa ilani yake.

Ni vyama vya matukio, usaka Tonge wa ubunge na udiwani kwa ajili ya kukusanya Ruzuku ,Ni vyama vinavyojiendesha kama mradi wa mtu na Mali ya mtu binafsi, ndiyo maana huko wenyeviti wake ni wakudumu, hawana mbadala Wala mrithi , huko ni makambale watupu, kila mtu na masilahi yake, kila mtu anajiangalia yeye na ajenda zake na maslahi yake, hawana habari za shida za wananchi.

Sasa Hawa wapinzani ndio Wana kwenda kupambana uso kwa uso na CCM iliyo imara na madhubuti, CCM iliyo na mtandao Mpana wa kiuongozi,CCM iliyokamilika kila idara,CCM iliyo na wanachama waaminifu mpaka ngazi ya kitongoji huko vijijini,CCM yenye wapiga kura waaminifu na inayoaminika na watanzania.

Ni wapinzani wachache Sana wasioweza kujaa hata kwenye kiganja watakao kwenda na kuingia Bungeni ,Ni wachache sana Tena Sana na itategemeana CCM imesimamisha akina nani katika majimbo husika ,lakini Kama CCM itaamua kubadilisha kitasa kwa hakika upinzani utapata Taabu Sana, ikumbukwe pia kwa Sasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kukesha na baridi au kuhatarisha usalama wake kwa ajili ya kumpigania mpinzani wakati anafahamu kuwa ni watu wenye Damu ya usaliti na ukigeugeu.

Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Kwa akili yako Una hisi unakisaidia chama, but in reality ni kama unakidhoofisha hasa kwenye mitandao ambako now chama kinatumia nguvu kubwa kupashika because vijana wengi ambao ndio wapiga Kura wako huku

Unasifia mpaka ujinga, unasifia mpaka mambo yasio kuwepo, unasifia mpaka mambo ambayo hayana impact kabisa kwenye taifa au Kwa wanainchi

Kama kweli ww ni mzalenda na mpenda ccm then try your best kufanya analysis mzuri na kujibu hoja try your best kuonesha changamoto the way zinatatuliwa na sio mambo ya mapambio Tu kama wale wazee wanaobeba mabango yanayoonesha hakuna njaa then anarudi kwake anakuta Mtoto wake amekufa Kwa njaa
 
Naishi Tanzania ambayo katika suala la Siasa Ni wazi kuwa upinzani umeishiwa mbinu

Nani alikwambia tanzania kuna upinzani? Nani mpinzani wa tanzania? Kipimo chako cha kuona huyu ni mpinzani Kipo kwenye nini?

Watu ambao mpaka pesa za kukodi magari mnawapa how utawaita wapinzani?
 
Nyie ndio mnaturudisha kusifia usenge wenu mnaofanya hivi mwrnye akili zake anaweza kusifia bunge butu. Ripoti ya CAG Kama vile hawaioni madudu yote ya serikali nyie mlaaniwe kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza ukasema bila hofu Wala wasiwasi kuwa CCM inakwenda kuingia katika uchaguzi Mkuu ujao ikiwa tayari Imeshinda katika mioyo ya watanzania.

Hii Ni kutokana na kazi kubwa ya utekelezaji wa ilani iliyofanywa na serikali yake chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais wetu mama Samia.

Inakwenda ikiwa imekidhi matarajio ya watanzania, inakwenda ikiwa imebeba matumaini ya watanzania, inakwenda ikiwa imejibu maswali, kero, changamoto na kuzitolea majibu ya kuridhisha na kuleta matumaini, inakwenda ikiwa imeleta nuru, Tabasamu na matumaini katika mioyo ya watanzania, inakwenda ikiwa imefanikiwa katika secta zote, inakwenda ikiwa imejenga uchumi Unaogusa maisha ya watu na kukua katika mifuko ya Watanzania, inakwenda ikiwa imeleta maendeleo katika kila secta, inakwenda ikiwa inakubarika na makundi yote na Rika zote.

CCM Inakwenda kupambana na kukutana na vyama dhaifu, vilivyokosa dira na muelekeo, vilivyokosa matumaini, vilivyokosa mipango na mikakati, vilivyokosa Sera na ajenda za kugusa maisha ya watu,vilivyofirisika kihoja, vilivyokosa ushawishi kwa watanzania, vilivyokosa Safu ya uongozi wenye kushawishi watu.

CCM Inakwenda kukutana na vyama vilivyokosa mtandao wa kiuongozi,vilivyopoteza Imani kwa wananchi,vilivyopuuzwa na watanzania, visivyoaminika katika masikio ya watanzania, visivyosikilizwa Wala kuungwa mkono na watanzania, visivyo na Sera Wala ajenda mbadala ,visivyoweza kutatua hata migogoro Yao ndani yake, vilivyojikatia Tamaa na kusubiri huruma ya CCM, visivyo na maono Wala falsafa, visivyoweza hata kuandaa ilani yake.

Ni vyama vya matukio, usaka Tonge wa ubunge na udiwani kwa ajili ya kukusanya Ruzuku ,Ni vyama vinavyojiendesha kama mradi wa mtu na Mali ya mtu binafsi, ndiyo maana huko wenyeviti wake ni wakudumu, hawana mbadala Wala mrithi , huko ni makambale watupu, kila mtu na masilahi yake, kila mtu anajiangalia yeye na ajenda zake na maslahi yake, hawana habari za shida za wananchi.

Sasa Hawa wapinzani ndio Wana kwenda kupambana uso kwa uso na CCM iliyo imara na madhubuti, CCM iliyo na mtandao Mpana wa kiuongozi,CCM iliyokamilika kila idara,CCM iliyo na wanachama waaminifu mpaka ngazi ya kitongoji huko vijijini,CCM yenye wapiga kura waaminifu na inayoaminika na watanzania.

Ni wapinzani wachache Sana wasioweza kujaa hata kwenye kiganja watakao kwenda na kuingia Bungeni ,Ni wachache sana Tena Sana na itategemeana CCM imesimamisha akina nani katika majimbo husika ,lakini Kama CCM itaamua kubadilisha kitasa kwa hakika upinzani utapata Taabu Sana, ikumbukwe pia kwa Sasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kukesha na baridi au kuhatarisha usalama wake kwa ajili ya kumpigania mpinzani wakati anafahamu kuwa ni watu wenye Damu ya usaliti na ukigeugeu.

Kazi iendeleee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hivi unakosaga kazi za kufanya wewe kama ni chawa basi yule kupe kabisa yaani promax yaani kuisifia sifia kwani sisi hatuoni watu kama nyie ndio mnanyafanya hili taifa liharibike
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Back
Top Bottom