Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,684
- 14,001
Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF.
Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama Taifa tulipaswa kuwa.
Sasa mtihani wa umma unaliza.
• Wewe, chama chako au kikundi chako kinachosema CCM imeshindwa kutuendeleza pindi ukitwaa madaraka utafanya nini ili taifa na watu wake watoke hapa walipo na kufika mahali panapaswa kuwa kama taifa na watu wake(kuendelea)?