CCM ilishinda Arumeru siku ya ufunguzi wa kampeni za chadema

Wana-Arumeru kama Watanzania wengine wote ufisadi pia ni tatizo lao. Hii dhana yako ya mgombea kuwaambia watu atakachowafanyia ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Hivi kweli mpaka leo hii wewe unaamini kabisa kwamba mbunge atawafanyia wananchi kitu fulani? Maswala ya maendeleo ni jukumu na mchango wa kila mwananchi mwenye nguvu, akili timamu na afya njema, si jukumu la mtu mmoja aitwaye mbunge.
Watanzania tunatakiwa kuelewa dhana ya kuwajibika kwa pamoja kuleta mabadiliko na hatimaye maendeleo.

Pia kaka mtu yeyote mwaminifu hawezi kuahidi mambo makubwa ili kuwahadaa watu ile hali uwezo wa nchi anaufahamu vizuri. Kuwa rasilimali zote za nchi zimebakwa na mafisadi.
 
Pia kaka mtu yeyote mwaminifu hawezi kuahidi mambo makubwa ili kuwahadaa watu ile hali uwezo wa nchi anaufahamu vizuri. Kuwa rasilimali zote za nchi zimebakwa na mafisadi.
ccm wanaahidi mambo yalioko kwenye utekelezaji wa halmashauri kama unafuatilia hotuba za kampeni kule arumeru.ccm wamepita kila idara ya halmashauri na kuulizia mipango yake na utekelezaji.sina uhakika kama chadema wameenda pale halmashauri na kuomba mipango kazi ya kila idara ili waweze kuboresha au kuikosoa.sasa hapa mwenye ahadi feki ni nani?tuache ushabiki na yale mazuri ya ccm yaelezwe na kuigwa.ndio maana nasema chadema haijajipanga bado.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Nyee! Kiduku hiki!

ccm ikifika kijiji flani inamuachia sioi kuongelea matatizo halisi ya kijiji kile na mipango ya utatuzi(kumbuka kuwa yote haya yameshapelekwa halmashauri kutoka kwa wawakilishi wa vijiji)
sasa nyie washabiki mtazungumzia maneno ya mchemba wakati wanakijiji watazungumzia maneno ya sioi.mwisho wa siku mpiga kura ni mwanakijiji na sio sisi.
Kwa upande wa nasari,hajawezeshwa kujua matatizo ya ndani ya kijiji husika hivyo atabaki na sera za kitaifa zaidi/sera za urais badala ya ubunge.
Najua magwanda wenye werevu watanielewa!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
sielewi kwa nini kina mama na wazee hawaendi kwenye kampeni za chadema.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom