mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,037
- 251
ushirikiano wa cdm na cuf ipi? ile iliyomuwekea pingamizi mgombea wa cdm mbeya(shitambala) ? au cuf ambayo mwenyekiti wake alifanya mikutano kigoma na lindi na kuishutumu cdm kuwa maandamano yake yana lengo la kuleta machafuko? na juzi mbunge wake kasema bungeni kuwa cuf haipo katika kambi ya upinzani na cdm, sasa leo cuf ni ya kushirikiana na cdm? kila chama kijijenge na kisimame bila kutegemea msaada kutoka chama kingine