CCM huko Zanzibar kimeumana haswa!

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,367
95,742
Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana.

Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme.

Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+.

Kwa misuguano hii kamwe haijengi bali ni kuongeza nyufa ndani ya nyumba husika.

Nafikiri hiki ni kipindi bora kwa wapinzani wazidi kujiimarisha ili muda ukifika watumie haya malumbano yao ili waiwajibishe CCM.

 
Back
Top Bottom