Elections 2010 CCM hii imekaaje?

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
CCM walipoambiwa ni chma cha mafisadi waling'aka na kusema kwamba ufisadi ni wa mtu mmoja mmoja sio CCM yote. But the truth is wajumbe wa kamati kuu (kikao kikubwa kabisa cha chama) zaidi ya watano ni watuhumiwa wa ufisadi mkubwa. Hivyo ni halali kuita chma hicho ni cha mafisadi.

Tuje CHADEMA, mauaji ya Maswa ambapo hakuwepo mjumbe yeyote wa kamati kuu ya chama, wala viongozi wa kitaifa wa chama na hata Mbunge mtarajiwa imethibitika hana hatia na hilo tayari JK na Bilal wameshatamka hadharani kwamba CHADEMA ni chama cha wauaji, niaje CCM mbona hamueleweki???????
 
mBONA WAMEKUBALI KUWA WAO NI MAFISADI KWANI UMEONA KWENYE KAMPENI ZA JK KUSEMA ATAKOMESHA UFISADI!??
 
Back
Top Bottom