CCM chali Lumumba....

Nape unakanusha lakini kiukweli si Lumumba tu bali all over the country,mishahara saivi wanategemea wapangaji wa majengo ndo mpate mishahara...hili mbona liko wazi au kwa vile ubishi ndo uungwana ktk chama letu ni lazima ubishe?
 
huu ni uongo wa kustajabisha sana, hakuna ambaye hajalipwa mshahara wala posho. Lakini pia hatulipi watu kwa umbea wala uzushi unaoandikwa kwenye mitandao,acheni kuzusha mambo.....

ccm on defence!
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

Kaka jifunze lugha za kimaandishi kwenye mitandao ya kijamii! Matumizi ya herufu kubwa tupu inapo kuwa sio kwenye heading basi maana yake ni kufoko au kupiga kelele.

Chukua somo hilo kwa leo japo najua kuwa una udhaifu wa kutoweza kuongea kiungwana na taratibu! Wewe ni mayowe mayowe na wewe.

Lipeni wafanyakazi wenu kama hamjafanya hivyo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mtu anapokosa kazi anakuwa na muwasho wa ajabu kila sehemu ya mwili wake.uzi huu umepostiwa na mtu mwenye muwasho sehemu kadhaa za mwili wake.

huko wapi
nikulete unikune
mkuu uliye copy
T2015CDM Je
nani anawashwa kama
sio wewe but msg send and
...........

V
SENGEREMA
 
si majibu ya kiongozi haya ulipaswa kujibu kuwa wamelipwa ....huo ndio uongozi na si kuweka maneno mengine yanakuonesha jinsi ulivyo!

tatizo wabongo ni wanafiki! Angejibu wamelipwa tu! Mngehoji tena au mngesema katujiu kijeuri au maneno yoyo yale -ve! Hatuendi ivyo mkuu! Hapa hajakosea mana huwenda kweli habari imezushwa tu! Kani haiwezekani kufanywa hivyo
 
Kaka jifunze lugha za kimaandishi kwenye mitandao ya kijamii! Matumizi ya herufu kubwa tupu inapo kuwa sio kwenye heading basi maana yake ni kufoko au kupiga kelele.

Chukua somo hilo kwa leo japo najua kuwa una udhaifu wa kutoweza kuongea kiungwana na taratibu! Wewe ni mayowe mayowe na wewe.

Lipeni wafanyakazi wenu kama hamjafanya hivyo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

taahira na kichaa sio lazima aokote makopo.post kama ya kwako hainipi shida kujua kama ww ni taahira au kichaa
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

kaka upo? pole kwa mchakmchaka wa m4c..manake una defend tu naona kama midfield na attcking imekufa kabisa
 
huko wapi
nikulete unikune
mkuu uliye copy
T2015CDM Je
nani anawashwa kama
sio wewe but msg send and
...........

V
SENGEREMA

nenda pale kinondoni manyanya/manhattan inn wapo mda wote mana wanasubiri na misaada ya katoliki.unawashwa sehem gani mkuu.
 
taahira na kichaa sio lazima aokote makopo.post kama ya kwako hainipi shida kujua kama ww ni taahira au kichaa

utakua una ishi mwananyamala
kumbuka hili ni jukwa la siasa
sio matusi, na sio taarabu
kila mtu anaweza kutuka
vizuri jifunze kuhishi.....

"wenje amezuiliwa kuongea na
wananchi wake, lakini makala karuhusiwa kuongea na wananchi"
bado unatukana tuuuuuuuuu

V
SENGEREMA
 
nenda pale kinondoni manyanya/manhattan inn wapo mda wote mana wanasubiri na misaada ya katoliki.unawashwa sehem gani mkuu.

ahaa!
kumbe naongea
na balozi wa amani
nchi tanzania uliyeteuliwa
na mungu...........
 
Wafanyabiashara wa nyara,drugs wameitosa CCM,wanajua 2015 ccm haitakuepo madarakani
 
Back
Top Bottom