CCM chali Lumumba....

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
Habari nilizozipa sasa
ni kuwa makao mkuu madogo ya CCM
Lumumba, wafanyakazi wake hawajalipwa posho na mishahara
yao ya miez kibao na ndio sababu
ya siri nyingi za chama na serikali upatikana kama vitumbua.... kwa hasira.

Nape/Mwigulu lipeni pesa wafanyakazi
mnatesa familia zao...au achane hivyo
hivyo tuwapakue zaidi

SOURCE: mfanyakazi alionipakulia
mambo mengi na mazito.

V
SENGEREMA.
 
Heee nini tena na huku lumumba yaani raha tu. Ehee hela wanapeleka wapi? Heheheheh
 
Utackia nape anasema huo ni uongo,uzushi,unafiki ni cdm wanazusha tu mambo haya hayana ukwel wowote
 
Umeleta habari kicdm cdm,halafu source ni wewe.usiwe na wasiwasi,watakuja wenzako kushabikia humu.
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

Habari nilizozipa sasa
ni kuwa makao mkuu madogo ya CCM
Lumumba, wafanyakazi wake hawajalipwa posho na mishahara
yao ya miez kibao na ndio sababu
ya siri nyingi za chama na serikali upatikana kama vitumbua.... kwa hasira.

Nape/Mwigulu lipeni pesa wafanyakazi
mnatesa familia zao...au achane hivyo
hivyo tuwapakue zaidi

SOURCE: mfanyakazi alionipakulia
mambo mengi na mazito.

V
SENGEREMA.
 
Umeleta habari kicdm cdm,halafu source ni wewe.usiwe na wasiwasi,watakuja wenzako kushabikia humu.

SOURCE: mfanyakazi aliyenipakulia
mambo mengi na mazito

Naisi linakuhusu hili
nawewe ujalipwa bado
kama wa mishahara bado
mpaka wa mitandaoni itakua
hivyohivyo..... haki ya mungu
huu ni ukweli na mpaka
sasa kuna makumpuni
kibao yanawadai n.k nanina
document ninazo kesho nitazi scan
nizitupie hapa....

Kwani mimi
ni mtanzania niliyie
hesabiwa sensa.

V
SENGEREMA
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

ahsante
mr.busta kwa
mawazo yako majibu
tayali yametoka

but all in all
kesho nita scan docoment
arafu ukanushe tenaa
poleni lipeni watu na
kuna makampuni kibao yana
wadai mpaka mengine ya
viongozi ya chama docoment ninazo
...........

v
SENGEREMA
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

Mkuu Upo Fasta hivi ndivyo Inavyotakiwa... Ila Mkuu kuna Mambo Mengine Mtangulizeni na Mwenyezi Mungu Nchi Itulie Manake Ishakuwa Taabu Siasa za Nchi hii Zinachosha Mno... Mie Nasikitika Roho za Watu Zinavyopotea Kizembe hivi bila Sababu....
 
Mtu anapokosa kazi anakuwa na muwasho wa ajabu kila sehemu ya mwili wake.uzi huu umepostiwa na mtu mwenye muwasho sehemu kadhaa za mwili wake.
 
Habari nilizozipa sasa
ni kuwa makao mkuu madogo ya CCM
Lumumba, wafanyakazi wake hawajalipwa posho na mishahara
yao ya miez kibao na ndio sababu
ya siri nyingi za chama na serikali upatikana kama vitumbua.... kwa hasira.

Nape/Mwigulu lipeni pesa wafanyakazi
mnatesa familia zao...au achane hivyo
hivyo tuwapakue zaidi

SOURCE: mfanyakazi alionipakulia
mambo mengi na mazito.

V
SENGEREMA.

mfadhili mkuu wa chadema ni kanisa katoliki.source ni chanel ten na magazeti ya leo
 
katika mazingira ya demokrasia wanaruhusiwa kukopa hela za M4C
peke yake E.L. na mtoto wake Fredrick wanazo 450,000,000.00 ambayo ni zaidi ya hizo walizochanga M4C na huo ni mgawo tu wa kampuni la Intergrated
mgawo tu wa mwezi wa Chama hata siku moja Hazina hawajawanyima, kwani mwigulu ndiye msimamizi na tumngojee humu atujibu km kweli zimeenda wapi mbona Makao Makuu hawana ukata wa namna hiyo si waende Dodoma kuchukua na sio kukopa!?
 
SOURCE: mfanyakazi aliyenipakulia
mambo mengi na mazito

Naisi linakuhusu hili
nawewe ujalipwa bado
kama wa mishahara bado
mpaka wa mitandaoni itakua
hivyohivyo..... haki ya mungu
huu ni ukweli na mpaka
sasa kuna makumpuni
kibao yanawadai n.k nanina
document ninazo kesho nitazi scan
nizitupie hapa....

Kwani mimi
ni mtanzania niliyie
hesabiwa sensa.

V
SENGEREMA

nyie si mnapata posho toka kanisa katoliki sisiem hawana mfadhili km wa kwenu
 
Huu NI UONGO WA KUSTAJABISHA SANA, HAKUNA AMBAYE HAJALIPWA MSHAHARA WALA POSHO. LAKINI PIA HATULIPI WATU KWA UMBEA WALA UZUSHI UNAOANDIKWA KWENYE MITANDAO,ACHENI KUZUSHA MAMBO.....

Si majibu ya kiongozi haya ulipaswa kujibu kuwa wamelipwa ....huo ndio uongozi na si kuweka maneno mengine yanakuonesha jinsi ulivyo!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom