ccm ccm ccm ccm

Ukiinuliwa na mwanadamu, mwanadamu atakushusha chini. Ukiinuliwa na Mungu juu...
 
CCM ijichunguze yenyewe isifikiri vijana wameamua kwa bahati mbaya kuipenda chadema! Watalipa gharama zote hizi! Mungu awe upande wa wenye mapenzi mema!
 
Mkoa wa Arusha sasa utaporomoka jumla kimaendeleo.

Arusha mjini hali ni hiyo, hata watalii siku hizi wamepungua sana sababu ya Chama cha Demokrasia na Maandamano.

Kama Meru ndo imeingia kwenye himaya yao, basi tujue tumekwisha. Hatujawahi kupigwa mabomu, leo uhuni wa Mjini Arusha umehamia kwetu.

Laana gani imewapata vijana wa Meru na kuchagua chama cha shari?

Wacha danganya watu sisi ndo tunaofanya shuhuli ya utalii hapa arusha mjini kuna ongezeko kubwa sana la watalii kuliko miaka yote ya nyuma, mpaka low season sasa hv tunafanya kazi. Arusha ipo zaid ya shwari . Peleka uongo wako kwa magamba wenzako. Viva chadema
 
wana jamii mwanzo wa mvua ni mawingu, inawezekana CDM kushinda,
Sio inawezekana bali imewezekana! Fuatilia TV station zote wamepigwa ban wasioneshe matokeo lakini mpaka wanakata CHADEMA tulikuwa tunaoongoza kwa mbali sana! Leo silali mpaka kieleweke na ninawahakikishia kuanzia saa sita kamili naanzakumMALIMA mtu mpaka asubuhi... Then natoa mwaliko kesho namuoa Sioi kwani nimekwisha mnunulia hereni za TANZANITE....:peace::peace: watuuu weweeeeeeeeeee!!!!!! Peeooplee'ssssss!!!!
 
Mkoa wa Arusha sasa utaporomoka jumla kimaendeleo.

Arusha mjini hali ni hiyo, hata watalii siku hizi wamepungua sana sababu ya Chama cha Demokrasia na Maandamano.

Kama Meru ndo imeingia kwenye himaya yao, basi tujue tumekwisha. Hatujawahi kupigwa mabomu, leo uhuni wa Mjini Arusha umehamia kwetu.

Laana gani imewapata vijana wa Meru na kuchagua chama cha shari?

kama una Mungu ndani yako,Jaribu kuwa m kweli! Vujo zote zinaletwa na ubabe wa CCM na Serikali yake. Pale watu wanapochoka kunyanyashwa kama watoto wadogo ndipo fujo zinapoanzia. Na kiukweli ndio mwanzo wa maendeleo! Amini hilo!Kuwa na watarii wengi lakini mapato mifukoni mwa wachache unafikiri ndio maendeleo?
 
Mkoa wa Arusha sasa utaporomoka jumla kimaendeleo.

Arusha mjini hali ni hiyo, hata watalii siku hizi wamepungua sana sababu ya Chama cha Demokrasia na Maandamano.

Kama Meru ndo imeingia kwenye himaya yao, basi tujue tumekwisha. Hatujawahi kupigwa mabomu, leo uhuni wa Mjini Arusha umehamia kwetu.

Laana gani imewapata vijana wa Meru na kuchagua chama cha shari?

kama una Mungu ndani yako,Jaribu kuwa m kweli! Vujo zote zinaletwa na ubabe wa CCM na Serikali yake. Pale watu wanapochoka kunyanyashwa kama watoto wadogo ndipo fujo zinapoanzia. Na kiukweli ndio mwanzo wa maendeleo! Amini hilo!Kuwa na watalii wengi lakini mapato mifukoni mwa wachache unafikiri ndio maendeleo?
 
Mkoa wa Arusha sasa utaporomoka jumla kimaendeleo.

Arusha mjini hali ni hiyo, hata watalii siku hizi wamepungua sana sababu ya Chama cha Demokrasia na Maandamano.

Kama Meru ndo imeingia kwenye himaya yao, basi tujue tumekwisha. Hatujawahi kupigwa mabomu, leo uhuni wa Mjini Arusha umehamia kwetu.

Laana gani imewapata vijana wa Meru na kuchagua chama cha shari?
Nyambafu
 
Kuna mtu alianzisha thread ya kuitukana CDM leo yuko wapi sasa? We co....ndom njoo hapa tukusikie sasa una hoja gani ya msingi juu ya haya matokeo.
 
mkoa wa arusha sasa utaporomoka jumla kimaendeleo.

Arusha mjini hali ni hiyo, hata watalii siku hizi wamepungua sana sababu ya chama cha demokrasia na maandamano.

Kama meru ndo imeingia kwenye himaya yao, basi tujue tumekwisha. Hatujawahi kupigwa mabomu, leo uhuni wa mjini arusha umehamia kwetu.

Laana gani imewapata vijana wa meru na kuchagua chama cha shari?

sie hatutaki watalii mkuu, maana hata walipokuwepo hakuna tulichonufaika nacho, au watalii wanakutafuna nn?? Ndo dili tushalibumisha hivo!!!!!!!!!!!!!!
 
vipi hali hali Tyson? naomba kujuzwa BP yake kwa sasa. naona CD4 zimeshuka sana! R.I.P thithiem
 
Wakuu, mpaka sasa tumebakiza kukusanya matokeo ya vituo vinne tu, narudi vituo si kata, vituo vya kupigia kura katika kata nne tofauti. Matokeo mpaka sasa yanasomeka hivi;

CHADEMA 32, 535
CCM 26, 296
AFP 131
DP 72
NRA 32
SAU 22
TLP 16
UPDP 22
 
Wee hujui kuwa Nape anashangilia ushindi saa hizi?
Finalists ktk uchaguzi Hulu ni CDM, KIkwete, Nape,Sita,Sarakikya, CCM wabaya aw Lowasa nk.
Hata hivyo magamba kwa namna Fulani bila ya wao kujitambua wameongezea ushindi CDM,
1.Mkapa kwa kumdhalilisha Vicent Nyerere wakidhani wana Arusha ni watu cheap na wafuatiliaji wa hoja nyepesi
2. Lusinde au wengine wanamwita choo cha manispaa,kasidia baada ya wana CCM wengi kujitambua kuwa Chama chao hakina sera bali ni matusi
3.wasira naye, alichemsha sana baada yakumzingizia Slaa kuwa kaiba kanisani na kashindwa kuthibitisha
4.huyu mbakaji aw Igunga naye na mipasho yake ya kukosa hoja ya kuwapa WanaArusha
Kiufupitumshukuru Mungu huenda katuwezesha kufikia hatua hii nzuri.
 
Mkoa wa Arusha sasa utaporomoka jumla kimaendeleo.

Arusha mjini hali ni hiyo, hata watalii siku hizi wamepungua sana sababu ya Chama cha Demokrasia na Maandamano.

Kama Meru ndo imeingia kwenye himaya yao, basi tujue tumekwisha. Hatujawahi kupigwa mabomu, leo uhuni wa Mjini Arusha umehamia kwetu.

Laana gani imewapata vijana wa Meru na kuchagua chama cha shari?

Sisi hatutaki watalii, tunataka mashamba yetu mliowapa hao vibaka wenzenu wa kizungu ambao mnawaita wawekezaji. Mashamba haya yatatosha kutupa kitatoa kikwubwa cha hela. Na sio siri siku sio nyingi na sisi tutakwenda kwa hao wazungu wenu kuwa watalii.TUNA HASIRA KAKA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom