CC ya CHADEMA nayo imefanya Kikao leo, nini kinajiri?

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Wana bodi kuna Kikao cha CC ya CHADEMA Leo jijini Dar es salaam. Nani anayejua kinachojiri katika Kikao hicho atujuze? Tumesikia rais kuvunja baraza la
Mawaziri baada ya kushauriwa na CC ya CCM ambayo nayo ilikutana leo, je maandamano ya kutokuwa
na imani na waziri mkuu na kuwataka mawaziri kujiuzulu bado yatakuwepo?
 
huu ndio ubaya wa chama kukosa sera maalumu...sasa baada ya rais kulekebisha baraza sijui watapiga kelele gani hawa magwanda..
 
Wana bodi kuna Kikao cha CC ya CHADEMA Leo jijini Dar es salaam. Nani anayejua kinachojiri katika Kikao hicho atujuze? Tumesikia rais kuvunja baraza la
Mawaziri baada ya kushauriwa na CC ya CCM ambayo nayo ilikutana leo, je maandamano ya kutokuwa
na imani na waziri mkuu na kuwataka mawaziri kujiuzulu bado yatakuwepo?

Mapambano bado yanaendelea mpaka kieleweke.
 
Na wao wavunje baraza la mawaziri vivuli ambao walikuwa hawana macho ya kuona madudu yanayofanyika mpaka Utoh alipofanya ukaguzi.
 
hakuna chama makini na chenye uwezo wa kufuta hisia za watu wenye busara kama mimi zaidi ya chadema hakuna kingine wa wengine ni mafisadi tu hawana jipya na kama wewe ni mmoja wapo basi utaipata fresh pale tu tutakapofika ikulu mwaka 2015.
 
Wana bodi kuna Kikao cha CC ya CHADEMA Leo jijini Dar es salaam. Nani anayejua kinachojiri katika Kikao hicho atujuze? Tumesikia rais kuvunja baraza la
Mawaziri baada ya kushauriwa na CC ya CCM ambayo nayo ilikutana leo, je maandamano ya kutokuwa
na imani na waziri mkuu na kuwataka mawaziri kujiuzulu bado yatakuwepo?

Kama sijakosea kikao kesho
 
Nafikiri watatoa tathmini ya wale wajumbe wa tume ya katiba kwasababu walisema wataangalia wasifu wa kila mjumbe...
So nimambo mengi yatakuwa yamejadiliwa ikiwemo la serikali legelege ya jk.
 
Na wao wavunje baraza la mawaziri vivuli ambao walikuwa hawana macho ya kuona madudu yanayofanyika mpaka Utoh alipofanya ukaguzi.

Kwa hiyo Zitto na Lyatonga walikuwa wanafanya futile cylce au umesahau kuwa zito ndo kafanya mpaka Jk kuvunja barazs mawaziri...!
 
viongozi wa ccm hawana tofauti na mnyama pono kwani hata akiwa safarini hujisahau kama anatembea na kuuchapa usingizi.mlianza hivi hivi kwa jairo mlipo ishia hatupajui labda mpaka cdm iwashtue tena ndio mshtuke kuwa mnasafari ndefu bado.
 
Jf wako wapi yaaani ningekuwa mimi ma thread mengine kama haya ningekuwa nayaweka kapun!! Aaraaa!
nimeshikwa na kichom ntarud baadae mda kama huu!!
bora niende nikacheke kwenye jokes!
 
Na wao wavunje baraza la mawaziri vivuli ambao walikuwa hawana macho ya kuona madudu yanayofanyika mpaka Utoh alipofanya ukaguzi.

katika lugha ya kabila langu neno ribosome maana yake ni pumba. so you are pumba
 
Back
Top Bottom