CBE yawapiga marufuku wasichana wanaosoma chuoni hapo kuvaa nguo zinazobana

Kutoka na vitendo vya ngono kushamili chuo ya biashara CBE Dsm. Namatokeo mabaya wa wanafunzi wa kike . NImarufuku kuvaa suluari za mchina zinazobana na kuonyesha maumbile yake.NImarufuku kuvaa siketi fupi .Nimarufuku kuvaa nguo inayobana mwili . Kazi hiyo wamepewa walinzi wagetini hakuna kupita kama umevaa tofauti na Tangazo hilo

sasa safari za kwenda CBE zinaelekea ukingoni duu hii ni noma.........................
 
Mambo ya mahakama ya kadhi ndo yanaanza hivyo muda si mrefu utasikia wanawake wajistili na hijab, unaambiwa hata huko misri au Chechnya waliaanza hivi hivi kwa kutoa visingizio ambavyo huonekana kukubalika na jamii but the real devil is underneath. Hao walinzi sheria ipi ya chuo au ya JMT inawapa mamlaka ya kuwazuia wanafunzi wa kike kuingia na kutoka chuoni kwa vigezo vya mavazi yao? je hao walinzi wamesomea wapi utaalam wa mavazi ya kike kuamua ipi inafaa na ipi haifai. First victims wa kadhi always ni wanawake, lakini hao wanawake ni dada zetu, mama zetu, shangazi, binti zetu, wake zetu na wachumba zetu kwa nini wanaume tujipe mamlaka juu yao??? Kuna vyombo mbali mbali hapa nchini vinavyoshughurika na masuala ya wanawake mfano wizara ya wanawake na watoto, UWT, NGOs nk badala ya kujichukulia sheria mkononi chuo kinabidi kiwasiliane na vyombo husika, wajibu wa chuo ni kufundisha wanafunzi na kama wanafail wajibu wao ni kufanya utafiti wa kina na kupeleka mapendekezo wizarani au kunakohusika, hii tabia ya mjinga mmoja mwenye madaraka kuamua jambo ambalo linahusu maisha ya maelfu ya watu litakuja kutu cost
 
Na hawa ndiyo magreat thinkers wetu wa siku hizi ambao chuki za udini zimewatawala kwa kila jambo hata pasipohusika!!Kuna mtu ameambiwa avae hijab kweli hapo?hivi unapajua CBE kweli wewe?umeshawahi kuwaona wanafunzi wa kike wanavyovaa?Nauhakika kama wewe ni mzazi usingethubutu kumruhusu mwanao wa kike avae vile,hebu vitu vingine jamani tuache ushabiki usio na kichwa wala miguu!!

Utandawazi upo sana tu lakini tunacopy vibaya,hata hao tunaowacopy hawavai nguo za namna hiyo wanapokuwa shuleni/vyuoni.Hivi dada zetu huwa mnakuwa comfortable kabisa na vile vinguo vyenu kweli?Naunga mkono kwa 100% uamuzi uliofikiwa na uongozi wa CBE juu ya mavazi,wasiishie Campus ya Dar peke yake waende mpaka Dodoma pia maana na ile imekuwa kama danguro la waheshimiwa kipindi cha vikao vya bunge!!
 
Naupongeza utawala wa CBE kwa kuchukua uamuzi huo. Lakini ukweli ni kuwa siyo CBE pekee ndiyo wasichana wanavaa vibaya, vyuo vingine pia viige mfano huu kwa kuwa-displine wanafunzi wao. Kutoka CBE tuelekee IFM, Chuo cha Ustawi na hatimaye vyuo vyote.
 
na wanaume wanaovaa suruali huku makalio au ch.pi zao chafu zinaning'inia nje wazuiwe pia..
Dah!! wananikera wale. Kuna siku niko ndani ya dala dala ya kutoka Posta kwenda Mwenge kufika Victoria kuna dogo alipanda suruali ndio kata K mapak mfereji wa
m***** unaonekana kha!!! jamaa mmoja mwanajeshi akamkoromea dogo kuwa kama suruali yako haiwezi kukaa kiunoni ivue ijulikanae kabisa kuwa hujavaa dogo alikuwa mdogo kama sisimizi.
 
Kama ukaguzi unafanyika getini inakuaje kwa wale wanaokuja na magari na wanaoishi humo ndani (hostel)
 
Hivi hao wanaopiga marufuku hawajui watu tukichoka kusoma tuna refresh mind kwa kuwaangalia jinsi wanavyoshindana kuvaa nguo fupi na zinazobana.
 
Mambo ya mahakama ya kadhi ndo yanaanza hivyo muda si mrefu utasikia wanawake wajistili na hijab, unaambiwa hata huko misri au Chechnya waliaanza hivi hivi kwa kutoa visingizio ambavyo huonekana kukubalika na jamii but the real devil is underneath. Hao walinzi sheria ipi ya chuo au ya JMT inawapa mamlaka ya kuwazuia wanafunzi wa kike kuingia na kutoka chuoni kwa vigezo vya mavazi yao? je hao walinzi wamesomea wapi utaalam wa mavazi ya kike kuamua ipi inafaa na ipi haifai. First victims wa kadhi always ni wanawake, lakini hao wanawake ni dada zetu, mama zetu, shangazi, binti zetu, wake zetu na wachumba zetu kwa nini wanaume tujipe mamlaka juu yao??? Kuna vyombo mbali mbali hapa nchini vinavyoshughurika na masuala ya wanawake mfano wizara ya wanawake na watoto, UWT, NGOs nk badala ya kujichukulia sheria mkononi chuo kinabidi kiwasiliane na vyombo husika, wajibu wa chuo ni kufundisha wanafunzi na kama wanafail wajibu wao ni kufanya utafiti wa kina na kupeleka mapendekezo wizarani au kunakohusika, hii tabia ya mjinga mmoja mwenye madaraka kuamua jambo ambalo linahusu maisha ya maelfu ya watu litakuja kutu cost

Acha uzushi mahakama ya kadhi haijawa tayari,wala haitakuwa na uhusiano taasisi za umma!!
 
SAUT wao wamezuia wanafunzi wa kike kuvaa suruali lakin sketi zinazovaliwa ni bora hata ya suruali ni aibu.
 
...hilo wazo la kijinga uongozi umetoa wapi? Wafanyabiashara lazma wawe wanamvuto, na mavazi yavutiwe...waishi maisha ya kir'okor'e kwani wako kanisani? Afu hayo mavazi yao hayusiani na kufeli kwao, ni ukilaza wao na kulazimisha kusoma kozi wasizoziweza...kwa ujumla hawajitumi ndio maana wanafeli vilaza wakubwa hao..
 
Hinasemekana hali hii ya wasichana kuvaa nguo kama wapo sokoni inawakela Walimu wazee japo vijana navishabikia kwa kuwageuza kama nguo wanachagua watakavyo kwa ninajili ya ngono.Ukipita ofisi za walimu vijana utakuta msululu wa wasichana kila mtu anashida zake
'' Hakika haya ni katika vitimbi vyenu wanawake. Bila ya shaka vitimbi vyenu ni vikuu ! Qur'ani:12:28.
 
Back
Top Bottom