Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
wajumbe kuna wakati nilikuwa na tatizo la kutopata hamu ya kula hata ukinipa silace mbili za mkate simalizi na sina hamu ya kula tena,...kuna mtu akanishauri ninywe castol oil.
Aisee nilipokunywa hiyo siku nilihara mpaka nikadhani utumbo nao unatoka....dah hii oil siyo kabisa ila baada ya hapo nakula mpaka mkate nusu hautoshi tena.