Sam GM
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 535
- 28
Huyu si ndie alisema alipomaliza kufanya mapenzi bila kinga alikimbilia kuoga ili asiambukizwe HIV?
Ukimwi na kuoga kazi kweli kweli hapo, LOL
Huyu si ndie alisema alipomaliza kufanya mapenzi bila kinga alikimbilia kuoga ili asiambukizwe HIV?
Hii katuni ya Gado si mchezo. Nimeipenda na kuisevu kwenye kompyuta yangu for further reference.