Carina Inauzwa Nauli yake Kidogo tu

Chillipo

Member
Mar 27, 2012
37
6
Carina Si ya Mwaka 2001, imetembea Km 91,000.00 Bei yake Tzs 9.0m ila maongezi yapo waweza kunipata pia thru 0767 385893
 
Attachments

  • DSC01553.JPG
    DSC01553.JPG
    1.2 MB · Views: 373
Carina Si ya Mwaka 2001, imetembea Km 91,000.00 Bei yake Tzs 9.0m ila maongezi yapo waweza kunipata pia thru 0767 385893

Peleka tangazo ktk ubao husika, huu c ukurasa wa kujitafutia umaarufu bali kazi na tender tu.
 
duh! ujue sometimes mnajitakia tu watu ndo kwanza wanatafuta kazi pengine hata kula hawajala we unaleta stry za magar wapi na wap bana peleka panapo husika
 
Back
Top Bottom