Tripitaka
Senior Member
- Nov 30, 2019
- 167
- 303
Habarini wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada, nina gari Carina Ti My Road. Hii gari ni mwaka wa 5 huu ninayo sasa changamoto kuipata hiyo Cabin filter ya ac ili tupulize vumbi au kuibadilisha kabisa,tumetafuta sana na mafundi ac lakin hatujaipata. Kwa kifupi haijulikani ipo wapi.
Leo nimeona nililete hili huku Jf kwa yeyote anaefaham mahali inapokaa anisaidie tafadhar. Kwa magari mengine ipo kwenye droo ya siti ya abiria lakin kwa hii gari pale haipo.
Karibuni kwa msaada wenu tafadhali.