Can you eat that?

Yaani mbuzi mzee umenikumbusha mbali "ASHUA", Tandika 2likuwa 2nazila balaa, nitamu sana, Mtundu Kisu unaweza lishwa bila kujua, kwa jinc zilivyotamu hata ukiambiwa ni nini utasema tu niongezee nyingine.
 
Amaihwa a.ka amaneghe. Matamu sana mura. Umenikumbusha enzi za kuhasi madume ya ng'ombe au mbuzi ili kuyafanya madume ya kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom