Can you eat that?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Bull+Testicle+tsbullballs225x300.jpg

sheep_testicles.jpg

Testicle Eating Festival Galas
 
Ewaaaa....kule kwetu yanapendwa sana hususan yale ya mbuzi!
Yanapendwa mno
Afu wanawake hamna kula, yanachomwa na kuliwa huko huko wakati wanachinja na 'ndisani' na ile damu ya kukaanga, nimeisahau jina

Umeona eeeh...watu wanakula supu ya pweza tu.
Kwa ambao si wafugaji hawawezi jua, ni kama mie navyomwogopa pweza hata kumtizama tu
 
Yanapendwa mno
Afu wanawake hamna kula, yanachomwa na kuliwa huko huko wakati wanachinja na 'ndisani' na ile damu ya kukaanga, nimeisahau jina

Kwa ambao si wafugaji hawawezi jua, ni kama mie navyomwogopa pweza hata kumtizama tu

teh teh teh...watu wa kileo tumezidi uthungu...kila kitu kinaonekana buchani tu.Hatusogei machinjioni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom