Can You Break A Broken Heart?

Amtafute na amkubali Bwana Yesu awe Bwana na Mwokozi wa Maisha yake. Yote yatakuwa matamu atashangaa. Yesu ni mponya wa yote na atampa amani kuliko mwanadamu yeyote.
 
Bado mna-brekiana na hati humu?

Hebu nendeni mkalijadili hili kwenye katiba... Ukibrekisha hati ya mwenzako, katiba inasemaje??
 


If you break a broken heart, what will you get? A broken heart too! or Do you have a name more than this? Kama lipo jina basi tuambieni! kwa matinki hiyo huwezi kuuvunja moyo uliokwisha vunjika! what differs is only the extreme/extent of breakage! but all are called broken heart
 
Baba Enock anapenda kufahamu kama inawezekana "kuvunja moyo ulokwisha vunjika"?

Hili swali alilipata katika pitapita zake mitaa ya Mbagala akiwa na wadau...

Naomba kuwasilisha...

Haiwezekani, Ukisha vunjika inabaki kutonesha tu, sasa inategemea ulivunjika kwa kiasi gani kabla! anaye tonesha kwa style ipi...
 
Back
Top Bottom