Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

images(1).jpg
 
Alikua mwarabu,Ila waarabu walikua na miungu yao latta na uzza,walimkataa Mungu muumba wa Muhammad
Sawa ngosha.
Sasa utakubaliana na mimi neno Allah lilitokana na mungu (muungu ) wa hao waarabu, je tofauti ya Allah wa miungu na Allah unaemwamini ni ipi?
 
sheitwani Ni yule anaempinga Mungu na kupinga maagizo yake
Sasa unataka amkubali Mungu unaemwamini wewe wakati na yeye anae Mungu wake anaemwamini??

Kati yenu hakuna mwenye uhakika wa Mungu yupi ni sahihi badala yake kila mmoja atamtetea Mungu anaemwamini.

Punguzeni kukashfiana
 
Ni ujinga tu waislamu wa huku Buza. Nimetembea Senegal ina 95% Waislamu lakini hawana hizi ushamba kwanza za kuwa na sigida usoni, kunyanyasa Wakristu hata kuwabagua. Ni hawa wa huku kwetu tu akina Ponda ndiyo wana mambo ya kindezi
Ponda hajawahi kuwa mbaguzi wala mnyanyasaji kidini.
 
Sikia ndugu kabla ya hawa jamaa kuingia nchi za kiislamu palikuwa tulivu ,ubaya wa wakristo wanataka kulazimisha tamaduni zao za hovyo ulimwengu.

Vita ya kwanza duniani walichapana ila Adolf Hitler pamoja na kuwaua mamilion ya waisrael mpake leo hajawahi kuitwa "Gaidi" ...Hawa jamaa wanalazimisha domination hapo lazima pawe na tatizo.


Wanapandikiza watawala weny itikadi zao kweny nchi za watu yaani mpaka korea kule wanazidi kufitinsha majirani ,hapo china bado wanachochoa .


Dunia haitokuwa sawa mpaka hawa watulie nchi mwao ,Qur an ilishasema hawa ni chanzo cha matatizo na hawafai kabisa kuwa duniani kama hawatobadili.


Leo hapo USA uislamu unakuwa kwa kasi yale majimbo yenye waislamu wengi hata vurugu hakuna.
Ingia kwenye kamusi halafu utuletee maana ya GAIDI?
 
Sasa unataka amkubali Mungu unaemwamini wewe wakati na yeye anae Mungu wake anaemwamini??

Kati yenu hakuna mwenye uhakika wa Mungu yupi ni sahihi badala yake kila mmoja atamtetea Mungu anaemwamini.

Punguzeni kukashfiana
Mungu wa kweli anajulikana kwa dalili.
 
Wapewe nchi yao...fukuza wapemba na waunguja wote waliopo huku Bara....wabaki waislamu wa bara tuu kidogo wana uvumilivu...
 
Unachosema sahihi kabisa. Kwangu waislamu wa Senegal ni watu exceptional. Nimefika pia. Hakuna waislamu wa kufananishwa nao. Wale watu wamepevuka mno. Ni waislamu wa tofauti na waislamu wa dunia nzima naweza kusema. Inapaswa waislamu wakajifunze kwa waislamu wa Senegal.
Kuna waislamu wajingawajinga wengi hapa duniani.
Wasenegal ni exceptional, naona wanaongoza kwa ustaarabu Afrika nzima.
 
Yesu (AS) akasema; "Si kwamba mtu amemwona Baba." [Yohana 6:46]

Yohana 6:46
"Si kwamba mtu amemwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba."


Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]

Yohana 1:18
"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua."


Acha upotoshaji wewe jamaa. Hizo aya ulizonukuu zinasomeka kama hapo juu naona wewe umetunga za kwako ukaweka hapa
 
1.kutembea uchi unaelewa maana yake au unaropoka basi mwambie mama ake aonyeshe hata matiti yake nje au maungo yake,hata hiyo dini yako hairuhsu mabango yapo makanisa kibao tatizo ni nyie kushika mila za wazungu wakati yesu hakuwa mzungu.

2.Saudi wakristo wapo tena kibao ,kanisa hakuna kutokana na wenyewe kule mnaenda kibiashara na sio kujenga pia saudi sio yote baadhi ya miji ni waislamu tupu sasa kanisa la nn😅😅?

Chanzo cha makanisa Africa ni ukoloni ndio uliacha makanisa kule saudi hamkuwahi kutawala hilo kanisa litafika lin, hapo zenji mlitawala ndio maana kuna makanisa kongwe.

3.Nyerer ndio agent wa ukatoliki tena Africa Mashariki pamoja na kina Obotte ,bila ya Nyerere nyie 😅😅msingekuwepo

Kama chanzo cha makanisa Africa ni ukoloni je Na chanzo cha misikiti Africa ni nini ?
 
Yohana 6:46
"Si kwamba mtu amemwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba."




Yohana 1:18
"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua."


Acha upotoshaji wewe jamaa. Hizo aya ulizonukuu zinasomeka kama hapo juu naona wewe umetunga za kwako ukaweka hapa


Mimi sijaweka aya zangu nimeziweka kwa ufupi tu na wala hujathibitisha hapo kama Yesu ni mungu

YESU NI MTUMISHI WA MUNGU, HIVYO YEYE SI MUNGU!

Yesu (AS) akasema; “Kama vile Mwana wa Adamu hakuja kutumikiwa, bali kutumika.” [Mathayo 20:28]

“Tazama mtumishi wangu (Yesu), niliyemchagua.” [Mathayo 12:18]

"Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka, amemtukuza mtumishi wake Yesu." [Matendo 3:13]

"Kwa maana ni kweli juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta." [Matendo 4:27]



Na hapo pia ziweke kwa urefu utoe ushahidi umpe uungu Yesu kinyume na nilizozinukuu aya
 
Back
Top Bottom