Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 15,809
- 34,024
Dini Africa ilisambaa sio kwa lazima kama walivyofanya wakoloni hawakupi elimu mpaka uwe mkristo kwanza.Kama chanzo cha makanisa Africa ni ukoloni je Na chanzo cha misikiti Africa ni nini ?
Pia jiulize misikiti mikongwe india na china imetokea wapi?
Jiulize kama Ukristo ulianzia mashariki ya kati inakuwaje unakosa domination kule tena unapotea ,nchi nyingi ukristo ni sumu..
Ukweli ni kwamba hiyo ni dini ya wazungu wnajatahidi kuonyesha wapo sawa na mafundisho ya yesu ila wapo tofauti kabisa