Kyamkwikwi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 441
- 146
Hata kama mtu hampendi Dr. W. Slaa lakini nafikiri amefungua ukuras mpya wa kuijenga Tanzania iliyoharibiwa. Naomba tumuunge mkono wote kutokomeza wavuruga amani kwa siasa nyepesi za udini na uimani. Kuanzia sasa tuwazomee wote hawa wenye kuchumia matumbo kwa kuzitaka kafara damu za Watanzania - kuharibu ustawi wa watoto na wajukuu wetu. Mimi ni mfuasi wa dini na Imani ya "TANZANIA IMARA". Kinyume na hapo nitakuzomea hiloooooooooooooooooohilooooooooooohiloooooooooooo lijiiiingaaaaaaaa hiloooooooooo halijui misingi ya dini na imani ni nini......bila kujali uko CDM, CUF, NCCR, CCM, DP n.k. NITAKUZOMEA TU SAA ZOTE.
Naipenda dini na imani yangu nzuri yenye kuelekeza AMANI na USITAWI wa Jamii bora - "TANZANIA IMARA".
___________________________________________________________
Re: Annur:vurugu za waislam na wakiristo geita. Kiongozi wa juu chadema chato akamatwa
By kyamkwikwi
wilbrod slaa
uchonganishi kwa kutumia dini ni mbinu chafu na ya mwisho ya utawala unaotapatapa kwa kushindwa kutekeleza mambo mengine ya msingi zaidi kwa wananchi wake.
Wananchi lazima kutambua hilo na kukumbuka kwamba umaskini na ukosefu wa mahitaji ya msingi si matokeo ya tofauti za dini au makabila bali utawala mbovu.
Huyo ndiye adui wa taifa letu na ndiye wa kwanza tunayetakiwa kukamilisha harakati za kumuondoa zinazokaribia kushinda.
By Dar hadi moro
yanatoka mdomoni au myoyoni mwako? Kama moyoni siwezi kuamini hasa ukiwa wewe umasimama kwa kanisa dhidi ya uislam
"Duu!! Kweli ukikariri jambo kuelewa kunakuwa pembeni kabisa, yaani mtu anajilazimisha kukataa maneno ya hekima na busara ili mradi tu amesikia propabaganda na kuziamini na kuzishikilia - mtu unakubali kushikilia misimamo fulani ya kukuangamiza wewe, jirani, rafiki, shemeji, mjomba, mtoto na bado unaona uko sawa, unajiona eti ni mtetezi wa IMANI fulani. Mimi sitetei imani ya mtu hapa ila ustawi wa jamii iliyostaarabika, na kama nitaonekana natetea imani basi IMANI hiyo ni ya DINI inayoitwa TANZANIA, full stop. Namkubali Dr. W. Slaa si kwa imani au dini yake bali kwa umahiri na umakini wake unaoshawishi akili na ufahamu wangu kuwa ni kiongozi anayefaa kuivusha Tanzania katika mapinduzi ya kimaendeleo, si lazima mtazamo huo uwe sawa kwa wote. Lakini tuache kuwatazama watu kwa imani na dini zao bali kwa uwezo wao na misimamo waliyo nayo kama wao kimaendeleo - huko ndiko kujitambua na kujisimamia kama binadamu uliyekamilika. Imani na dini zetu zenye misingi inayotugawa, kupigana na kuuana zina mafunzo gani - nategemea mkristo au mwislamu au yeyote mwenye imani hayakatae hayo badala ya kuwa ndo mahubiri na hoja za mihadhara na sisi kwa uji.g.a tu tuko tunawashangilia na kuwaona watu wa hivyo eti ndo mahiri.
Jamani Watanzania ebu tubadilike tukiambiwa propaganda fulani basi tujaribu na sisi kutumia akili zetu kutafiti sio tunabeba mbereko....!!!"